• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mjue Lawrence Malong Lual Yor; mastermind wa fake gold deal

Kyodowe

Kyodowe

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Messages
886
Points
1,000
Kyodowe

Kyodowe

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2013
886 1,000
Wakuu umuofia kwenu,

Sijui huyu jamaa mtamkumbuka! Aliwahi kutrend sana kwenye mitandao ya kijamii kwa picha zake za anasa akiwa amelalia madollar kitandani na nyingine akiwa mabegi ya dollar kwenye private jet.

To cut story short. Ukisikia ujambazi beyond talent ndiyo huu. Eti mtu kaibiwa dollar million 1.9 kiulaini kabisa.

Mpango wenyewe ulikuwaje!
Baada ya jamaa kujinasibu kuwa ni mtoto wa jenerali Malong ambaye ni kamanda wa cheo cha juu ndani ya jeshi la Sudan kusini, aliweza kupata marafiki wengi sana ambao ni wafanyabiashara nje ya nchi yake. Pia, aliweza kujenga ushawishi mkubwa kwa watu hao kwa kutumia picha aliwazowahi kupiga na watu mashuhuri nchini Sudan akiwemo Salva Kiir na baadhi ya wanajeshi wa jeshi lililo tiifu kwa Salva Kiir ambaye ni wa kabila la Nuers.

Kwa kuwa leo hii Sudan Kusini ni sehemu ya jumuiya ya Afrika Mashariki, naomba niwafahamishe kidogo. Kabila la nuers ni mojawapo ya kabila lenye nguvu sana Sudani kusini.

Nakumbuka miaka ya 2000 tukiwa college, darasani tulikuwa wasudan sita (wawili kutoka kaskazini na wanne kutoka Sudan kusini) ambao kati ya wale wa kusini, watatu walikuwa wanuer na mmoja mdinka.

Interesting ni kuwa, hoja zao kinzani zilinifungua sana kuifahamu Sudan Kusini, lakini pia nikagundua ni namna gani hawa jamii ya waNuer walivyo smart.

Kwa Afrika Mashariki unaweza kuwapamvanisha tu labda na kabila la MK254. Na hata ukilicheki vizuri jina la huyu mpiga dili utagundua pia naye ni wa kabila la nuer.

Jamaa aliwezaje kuwaibia watu dollar million 1.9? Story kamili hii hapa;

https://mobile.nation.co.ke/news/africa/Inside-DRC-gold-scams/3126394-5050790-emondh/index.html
2026017_3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
3,222
Points
2,000
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
3,222 2,000
Kama lengo ni kusifia kabla kwa kutumia mfano wa huyo jamaa umefeli, huyo jamaa ana iq mdogo sana

Kama hakuamini kacheki interview yake aliyohojiwa citizen, ni jamaa ambae vitu abamiliki vitu vya gharama kwa sababu Mjomba wake ana cheo kikubwa jeshini ila akili yake haina thamani kabisa.

Kisaikolojia, mtu anaepiga picha na mipesa huwa anataka kuwakomoa watu wanaomdharau au kumkejeli, huyu jamaa anachofanya kwa hizo picha ni kuwakomoa watu wanaomwambiaga ukweli kwamba yeye hana akili
 
T

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,256
Points
2,000
T

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,256 2,000
Salva kiir ni mdinka
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
3,294
Points
2,000
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
3,294 2,000
Na Paul Malong au huyo kijana tajiri hajawahi kuwa mnuer. Hao ni madinka. Sasa sijui unatudanganya kwa faida ya nani!!!!

Tiba
Lengo lake ni kuwasifia wakikuyu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
C

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Messages
1,826
Points
2,000
C

chotera

JF-Expert Member
Joined May 19, 2016
1,826 2,000
Dr. Riek Machar ni mnuer ndio kabila superior pale s. Sudan na salvar kiir ni mdinka na huyo malong ni mdinka
 
T

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,256
Points
2,000
T

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,256 2,000
Dr. Riek Machar ni mnuer ndio kabila superior pale s. Sudan na salvar kiir ni mdinka na huyo malong ni mdinka
Mkuu nijuavyo mimi wadinka ndo superior katika kila kitu..nuers ni warriors tu
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,297
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,297 2,000
Kuna video moja nilimsikia Akisema yeye hela analetewa na Bwana Yesu.
Nikachoka kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,404,672
Members 531,690
Posts 34,460,855
Top