Kyodowe JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,242 Reaction score 1,378 Dec 18, 2018 #1 Wallah ndoto ni mbaya sana, Eti nawaza wale wasiojulikana waliomteka Mo Dewji wanataka kutengeneza movie nyingine. This time, ni kuhusu mzee wa kaya. Dah, ndoto nyingine mbaya sana, Allah anisamehe kwa kweli
Wallah ndoto ni mbaya sana, Eti nawaza wale wasiojulikana waliomteka Mo Dewji wanataka kutengeneza movie nyingine. This time, ni kuhusu mzee wa kaya. Dah, ndoto nyingine mbaya sana, Allah anisamehe kwa kweli