Nyalandu kuvua gwanda kesho kikao cha CCM

Kyodowe

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,242
Reaction score
1,378
Aliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani watafuata!
 
Wapigaji wanarudi nyumbani kuendeleza siunajua mh Kikwete yuko ikulu kwa mgongo wa nyuma

Aliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani watafuata!
 
Aliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani watafuata!

Halafu watu wanasema gogoki analeta habari za uongo,alishasema kama miezi mitatu iliyopita....Bado "Salum Teacher" tu nae kuunga mkono juhudi.
 
Ni vema sana najua kunakitu ataipatia CCM alichotokanacho huko.
Simwamini mwasiasamimi japo babu yangu ni kada mtiifu wa chama na serikali lakini simuamini hata punje ya mchanga.
 
Anaweza kupewa zawadi ya uwaziri wa maliasili.

1619784903905.png
 
Matope ambayo JPM alikuwa anafuta CCM yanarudi. Baada ya miaka minne CCM itakuwa ile Jakaya. Niliwahi kuuliza hapa daktari wa moyo aliyekuwa anamtibu JPM pale Jakaya Kiwete Institute ni nani, mpaka leo haijulikani na wala hatujuia JPM alitibiwa na cocktail ipi. Naanza kuelewa kwa nini viongozi wanapenda kwenda kutibiwa nje hata mafua tu.
 
Mkuu si ulidai alikua kwenye maombi leo hii tena unajifanya kuhoji Daktari wake? Mlifanya siri when it backfired mnataka kutafuta mchawi.

U should be ashamed of urselves
 
Matope ambayo JPM alikuwa anafuta CCM yanarudi. Baada ya miaka minne CCM itakuwa ile Jakaya. Niliwahi kuuliza hapa daktari wa moyo aliyekuwa anamtibu JPM pale Jakaya Kiwete Institute ni nani, mpaka leo haijulikani na wala hatujuia JPM alitibiwa na cocktail ipi. Naanza kuelewa kwa nini viongozi wanapenda kwenda kutibiwa nje hata mafua tu.
Yaani kuna watu mkikaa mawazo yenu yote kwa marehemu, jamaa amekufa na harudi tena, move forward jombaa. And wewe kama nani umjue daktari aliyekuwa anamtibu dikteta uchwara? Who the hell are you in this country?
 
Yaani kuna watu mkikaa mawazo yenu yote kwa marehemu, jamaa ?!ufa na harudi tena, move forward jombaa. And wewe kama nani umjue daktari aliyekuwa anamtibu dikteta uchwara? Who the hell are you in this country?
Ww ni mngaji legacy ndio hyo hyo mwendazake unataka tuongelee nini?
Juu yake?!
 
Yule hata hivyo ni mmoja ya wale wanasiasa aliowasema Mzee Mchonga aliwaita 'malayamalaya'

Hata ukimuangalia amelainika sana na alikuwaga na kashfa ya kutoa Ile mambo fulani 👌👌🍩
 
Na tarehe 17 sio kweli.alidanja muda sanaa.

Back
Top Bottom