Najipanga kustaafu

Najipanga kustaafu

Kyodowe

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,242
Reaction score
1,378
Wadau umuofia kwenu

Kama walivyowahi kunena 'No longer at easy'. Anyway, nimetafakari ni sijui ni nani wa kuja kunitetea au kunifariji. Nimeamua kustaafu rasmi.

Umuofia kwenu,
Ni mimi Kyodowe
 
Wadau umuofia kwenu

Kama walivyowahi kunena 'No longer at easy'. Anyway, nimetafakari ni sijui ni nani wa kuja kunitetea au kunifariji. Nimeamua kustaafu rasmi.

Umuofia kwenu,
Ni mimi Kyodowe

Umuofia ya! Igweeeeee!!! unaenda kulamba 25% kiinua mgongo au 33% ya salary kwa miezi 6 baada ya hapo Baba Jeni Bye bye mpaka miaka 55.
 
Umuofia ya! Igweeeeee!!! unaenda kulamba 25% kiinua mgongo au 33% ya salary kwa miezi 6 baada ya hapo Baba Jeni Bye bye mpaka miaka 55.
Kabisa mkuu! Haya mambo ya kusubir siyawezi tena
 
Nautamani sana uzee, ndiyo maana kuanzia kesho mimi ni raia mwema
 
Back
Top Bottom