Kyodowe JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,242 Reaction score 1,378 Dec 10, 2020 #1 Umuofia kweni. Hivi sukari, diesel na cement ikipanda bei ndiyo zinazoashiria mfumuko wa bei? Huku mtaani bidhaa nyingi zinapanda bei kimya kimya lakini naona maisha yanasonga kama kawaida. Huko kwenu kumekaaje wadau.
Umuofia kweni. Hivi sukari, diesel na cement ikipanda bei ndiyo zinazoashiria mfumuko wa bei? Huku mtaani bidhaa nyingi zinapanda bei kimya kimya lakini naona maisha yanasonga kama kawaida. Huko kwenu kumekaaje wadau.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,236 Reaction score 54,748 Dec 10, 2020 #2 Nyama yenyewe imepanda bei
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,826 Dec 13, 2020 #3 Bundle za simu zinapanda bei. Jamaa wanapunguza kiwango cha matumizi kwa bei ile ile ili ujiongeze ununue bundle ya bei zaidi.
Bundle za simu zinapanda bei. Jamaa wanapunguza kiwango cha matumizi kwa bei ile ile ili ujiongeze ununue bundle ya bei zaidi.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,450 Dec 13, 2020 #4 Simenti imepanda bei