Search results

  1. K

    Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

    Ist imepata ajali inauzwa Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
  2. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
  3. K

    Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  4. K

    Nakodisha pressure washer

    Mwenye kuhitaji pressure washer za kukodisha tuwasiliane tafadhali,nina karcher k2 nakodisha kila moja kwa elfu 60 (7 days).Naweza pia kumkodidha mtu akafanyia biashara then akawa analipa weekly.model ni karcher k2.ukihitaji za kununua pia zipo.call on 0713404014
  5. K

    Coming soon

    Wana JF ninawatangazia kuna huduma inakuja ya kusafisha tiles kwa ujumla iwe ofisini ,majumbani .nina mashine maalum ya kusafisha tiles na kwenye yale maungio hasa ndio yanachafuka sana .pia km bathroom yako inakijani kijana ile basi inakuwa kama mpyaa.pia tutasafisha na madirisha yote ya vioo...
  6. K

    Samsung digital camera 16.4 MP

    Brand new samsung st66 camera zinauzwa,zina 16.4 megapixels,3" screen,zinachukuchukua hd moview, zoom 5x digital zoom ,rechargeble battery,n.k Camera za ukweli kutoka UK mwenye kuhitaji inbox me.Bei 350000
  7. K

    Printing bussness

    Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye kufanya hii biashara mnaonaje ni biashara nzuri ?nahitaji maoni yenu wana forum
  8. K

    Ladies wallet/purse

    Nauza wallets za kike za ngozi kwa jumla au rejareja ,za ukweli kutoka uk,Bei ya jumla 20000 kwa moja na rejareja 25000 kwa moja.napatikana ubungo.wallets ziko za rangi tofauti na design tofauti , hizo pochi ni baadhi ya mifano ,namba yangu 0713 404014 karibuni
  9. K

    Car wash

    wadau natafuta sehemu ya kuweka car wash ,ninazo machine tayari natafuta tu eneo ambalo lina maji ya kutoka na lenye biashara km kuna mtu an idea yoyote anieleweshe ndugu zangu.
Back
Top Bottom