x-trail

  1. The Evil Genius

    Ushauri kati ya Nissan X-trail Fourth Generation na Subari Foresta Fourth Generation

    Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni Foresta Toleo la nne na X-trail toleo la nne. Ahsante sana
  2. G

    2015 Nissan X-trail Hybrid Vs 2015 Honda vezel Hybrid gari zinazokuja kuteka soko kila eneo

    Nissan x-trail hybrid Honda vezel hybrid Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia hybrid cars kama hizo, maoni zaidi yanakaribishwa.
  3. The Evil Genius

    Naomba ushauri kuhusu Nissan X-Trail toleo la kuanzia 2015

    Habari wakuu. Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri. Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona niombe ushauri huku kwanza ili nipate abc za kumpa. Waomba reviews za hiyo gari wakuu. Ahsante sana.
  4. K

    Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  5. C

    Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

    Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike? mileage: 41,000kms
  6. A

    Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

    Wadau, salamu kwenu. Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye: 1. Uimara 2. Kuhimili barabara za vumbi na tope 3. Upatikanaji wa spea
  7. R

    Nissan X-trail imekataa kuwaka, haitupi spark kwenye cylinder, mashine inasema hakuna error code yoyote

    Habari wanabodi Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea zaid ya mwezi, kama wiki moja iliyopita taa ya check engine iliwaka, nikaona isiwe tabu, nikapeleka...
Back
Top Bottom