Coming soon

Coming soon

kamwa10

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
84
Reaction score
20
Wana JF ninawatangazia kuna huduma inakuja ya kusafisha tiles kwa ujumla iwe ofisini ,majumbani .nina mashine maalum ya kusafisha tiles na kwenye yale maungio hasa ndio yanachafuka sana .pia km bathroom yako inakijani kijana ile basi inakuwa kama mpyaa.pia tutasafisha na madirisha yote ya vioo kwa kutumia mvuke sio maji na dilisha linakuwa jipyaaa .je mnaonaje wandugu wateja mpo?nishaurini changamoto zako zikoje tafadhali.Nakaribisha msoni na ushauri wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom