Search results

  1. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu. ~ EWURA wameshindwa kusimamia bidhaa ya mafuta kushuka bei? ~ Mama anaridhika na kupanda bei ya mafuta inayopandisha...
  2. afsa

    Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    AMEANDIKA: BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA. USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM! Jana tarehe 5 Novemba 2020 nilizungumza na aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha...
  3. afsa

    Bashe alituasa mapema kuhusu Watumishi

    CCM ikishinda kwa namna yoyote ile tutakuwa hatujamtendea haki Hayati Mwl. Nyerere, watanzania tuyaishi maneno ya Mwl. Nyerere tuache uoga tujikwamue katika makucha ya CCM
  4. afsa

    Nasubiri CCM tutangaziwe tarehe ya kuchukua na kurudisha fomu kama walivyofanya CHADEMA

    Dirisha la nafasi ya kugombea urais ndani ya CHADEMA limefunguliwa rasmi Leo. CHADEMA safari hii wameamua kuzuia waviziaji kama mamvi. Ni raha sana kwa Democrasia ndani ya CHADEMA. Ukitaka uenyekiti ndani ya chama nafasi zinawekwa wazi, zinatangazwa, wenye uwezo mnaomba, kura zinapigwa na...
  5. afsa

    Ushuhuda namna Polisi Central wanavyopiga Pesa bila kutoa risiti

    SEHEMU YA KWANZA. Mimi nafanya shughuli zangu city centre.. Natumia usafiri wa pikipiki kuendesha shughuli zangu mjini ili kufika sehemu kwa wakati. Kuna order iliwahi kutolewa na mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda kutoingia mjini bila kibali. Ili kutii agizo hilo huwa nakata kibali kila baada ya...
  6. afsa

    Kwa ñini Poul alimuua rais wa RWANDA?

    Africa It’s time for a reckoning for Kagame and his Western cheerleaders Timothy B Reid 23 Apr 2019 00:00 A quarter of a century later, it is about time that the role of Paul Kagame and his allies in the Rwandan genocide and the years of violence which followed is properly examined. (Reuters)...
  7. afsa

    Kagame ndo aliyewaua Rais wa Rwanda na Burundi kwa nini Marekani wanamlinda/

    Africa It’s time for a reckoning for Kagame and his Western cheerleaders Timothy B Reid 23 Apr 2019 00:00 A quarter of a century later, it is about time that the role of Paul Kagame and his allies in the Rwandan genocide and the years of violence which followed is properly examined. (Reuters)...
  8. afsa

    Leo 14/5/2019 Wakulima wa korosho hatujalipwa

    Tangu rais atue mtwara na kuagiza wakulima wadogo wadogo wote walipwe ndani ya siku 2 hadi Leo hatujalipwa. Kila tunapohoji tunaambiwa tusubiri kidogo tutalupwa, je ikiwa rais alisemà tulipwe na kwamba pesa IPO lakini hadi Leo hatujalipwa, pesa za wakulima zimepigwa na wajanja?
  9. afsa

    Unga umepanda bei, mshahara ni ule ule

    Wanabodi, salaam. Wakati mawaziri wakiendelea kutoa kauli zisizoeleweka kuhusu takwa la kisheria la kupanda mshahara mtaani hali inazidi kuwa mbaya. Unga umepanda bei sana. mwezi january unga wa sembe kilo 25 ulikuwa ukiuzwa 14,500/= kwa bei ya jumla. Leo unga ule ule unauzwa 27,000/= kwa bei...
  10. afsa

    CHADEMA shikilieni hapohapo tunawaelewa

    Kwa sasa habari ya mjini ni mambo manne ambayo yanawapa credit 1. Ufisadi wa serikali ya awamu ya 5 kupitia ripoti ya CAG 2. Nyongeza ya mishahara kisheria 3. Katiba mpya 4. Utawala bora Huku mtaani tunawaelewa na watumishi wameanza kuwapanga wapiga kura taratibu. . Ninyi kila siku muwabane...
  11. afsa

    Pambalu: Serikali ya wanyonge na wabunge wa ccm wamewasaliti watumishi

    *TUNAPOMKUMBUKA YUDA ISKARIOTE, TUSIWASAHAU* WABUNGE WA CCM *WALIOKATAA HOJA YA KUTETEA MASLAHI YA WATUMISHI WA UMMA ISIJADILIWE BUNGENI TUNAPOELEKEA UCHAGUZI MKUU 2019-2020.* Na Mwl, John Pambalu. Yuda Iskarioti (kwa Kiebrania יהודה איש־קריות), Myahudi wa karne ya 1, alikuwa mmojawapo wa...
  12. afsa

    Nipeni nafasi ya TUCTA niinyooshe serikali.

    Naitamani sana ile nafasi ya TUCTA. Nawaoneà sana hurumaa wafanyakazi hasa wa kada za Chini ambao wanatumia mishahara yao kufanya kazi zaa serikali. Hawa watumishi hulipa kutoka ktk mishahara yao huduma zifuatazo; Usafiri wa kwenda kazini na kurudi Upangaji wa nyumba Usafiri wa likizo Maji...
  13. afsa

    Hatujalipwa pesa ya korosho hadi sasa. Kauli ya Rais imepuuzwa?

    Mkulima ataendelea kutaabika hadi pale atakapopata mtetezi wa kweli. Hadi sasa hivi sisi wakulima wadogo wadogo hatujalipwa japokuwa tulishahakikiwa siku nyingi na rais akiwa mtwara alielekeza tulipwe ndani ya siku mbili. Kangomba ndo hawajalipwa hata mmoja, walilipa wakulima wachache wakati...
  14. afsa

    1.5T hadi 2.4T ndo imetufikisha hapa kwa CAG?

    Enzi za Jk ambapo Bunge lilikuwa la hoja kwelikweli , mawaziri walibanwa, makatibu walitaitiwa, Bunge Lilikuwa moto moto viongozi waliwajibishwa. Rais aliitwa DHAIFU. Enzi za Jpm ambapo bunge lipo gizani hatujui kinachoendelea, zaidi tunapata mitandaoni vioja vya watu kama kibajaji, msukuma...
  15. afsa

    Mradi wa kukamata pikipiki mjini ni wa CHADEMA au wa CCM?

    Kuna biashara mbovu ya kuwaumiza bodaboda na waendesha pikipiki mjini. Awali hili lilikuwa ni katazo la Paul Makonda sasa umekuwa ni mradi halisi. Nani anafaidika makonda? CCM? CHADEMA? Nauliza hivi kwa sababu huu mradi umekaa kitapeli tapeli. Wakamataji unaongea nao dau kwanza nje ya...
  16. afsa

    Ajira zinaendelea

    Ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya uchaguzi, watendaji(makada wa ccm) wanaajiriwa moja kwa moja toka wizarani kwenda katani. Mkurugenzi sasa hapangi watumishi wanaoajiriwa kutokana na uhitaji wake. Hapa katani kwetu ameletwa mtendaji(kada) kwa maelekezo toka wizarani wakati tayari hapa tuna...
  17. afsa

    Dr. Msigwa wa TUCTA kuungana na wa CCM kuwakandamiza watumishi , inauma sana

    Wakati ni huu wa kumuondoa Dr Musigwa TUCTA na CCM. Watumishi kwa hili tuungane. KUPORWA KWA MAFAO YA WAFANYAKAZI: DHAMBI YA BUNGE AU TUNALISHWA 'MATANGO PORI'??? Wakubwa zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Kwa vile...
  18. afsa

    Andiko bora la mwaka Rais Magufuli Jembe Tumuunge mkono

    Zitto Zubeir kabwe Mwongozo wa namna ya kuishi na Magufuli kwa wanasiasa, wastaafu na wafanyabishara  Moja Usisema CCM bali sema CCM ya Magufuli. Wala usijaribu kusema Serikali ya CCM bali Serikali ya Magufuli. Katika fikra zake, yeye ni zaidi ya Chama kilichomuweka madarakani. Yeye ndiye...
  19. afsa

    Tunahoji ruzuku ya CHADEMA kuliwa na Mbowe, kwanini CCM hawatuelezi ruzuku yao Inaliwa na nani?

    Wana Jf Tujiulize haya, Chama kikubwa kama chama cha mapinduzi(CCM) kwa nini hawajawahi kutueleza ruzuku yao inatumikaje? Mbona kila siku wanahoji ruzuku ya CHADEMA lakini hawatupi matumizi ya ruzuku yao? Kwa nini hatuhoji ufisadi unaofanywa na vigogo wa CCM wa matrioni na mali za umma ila...
  20. afsa

    Tajiri/kampuni ya kununua pikipiki

    Nahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja. 1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa mwaka(service zote kubwa na ndogo kwangu). NB: Mkataba wa mwaka ukiisha pikipiki inakuwa Mali yangu. Au 2...
Back
Top Bottom