afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,983
- 1,574
Mkulima ataendelea kutaabika hadi pale atakapopata mtetezi wa kweli.
Hadi sasa hivi sisi wakulima wadogo wadogo hatujalipwa japokuwa tulishahakikiwa siku nyingi na rais akiwa mtwara alielekeza tulipwe ndani ya siku mbili.
Kangomba ndo hawajalipwa hata mmoja, walilipa wakulima wachache wakati rais akiendelea na ziara bada ya kuondoka wakasitisha hadi Leo hatujalipwa.
Sikukuu ya Christmas na mwaka mpya sikuila vizuru kwa sababu sikulipwa korosho zangu hata hii pasaka naona ikipita hivi hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app