Ajira zinaendelea

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,924
2,000
Ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya uchaguzi, watendaji(makada wa ccm) wanaajiriwa moja kwa moja toka wizarani kwenda katani. Mkurugenzi sasa hapangi watumishi wanaoajiriwa kutokana na uhitaji wake. Hapa katani kwetu ameletwa mtendaji(kada) kwa maelekezo toka wizarani wakati tayari hapa tuna mtendaji wa kata sijajua huyu aliyepo watamfanyaje ila hii kata ipo chini ya upinzani. Tukumbuke watendaji wa kata na wakurugenzi ndio wanaosimamia uchaguzi kwa asilimia kubwa ktk maeneo yao. Mnaomuandaa Tundu Lisu mjue hawezi kutangazwa hata akishinda kwa sababu wasimamizi ni makada.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom