Nipeni nafasi ya TUCTA niinyooshe serikali.

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,983
1,574
Naitamani sana ile nafasi ya TUCTA. Nawaoneà sana hurumaa wafanyakazi hasa wa kada za Chini ambao wanatumia mishahara yao kufanya kazi zaa serikali.

Hawa watumishi hulipa kutoka ktk mishahara yao huduma zifuatazo;
Usafiri wa kwenda kazini na kurudi
Upangaji wa nyumba
Usafiri wa likizo
Maji
Chakula nk

Naombeni muda ukifika mnipe nafasi nipiganie haya na mengine mengi
 
tucta Haina sauti Kama vyama shiriki vinavyounda tucta yenyewe. Kuna Mzee Kenya anaitwa Atwoli cjui tumuazime
 
Naitamani sana ile nafasi ya TUCTA. Nawaoneà sana hurumaa wafanyakazi hasa wa kada za Chini ambao wanatumia mishahara yao kufanya kazi zaa serikali.

Hawa watumishi hulipa kutoka ktk mishahara yao huduma zifuatazo;
Usafiri wa kwenda kazini na kurudi
Upangaji wa nyumba
Usafiri wa likizo
Maji
Chakula nk

Naombeni muda ukifika mnipe nafasi nipiganie haya na mengine mengi
Demokrasia ya vyama vya siasa inapo najisiwa
 
Back
Top Bottom