Tajiri/kampuni ya kununua pikipiki

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,983
1,574
Nahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja.

1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa mwaka(service zote kubwa na ndogo kwangu).
NB: Mkataba wa mwaka ukiisha pikipiki inakuwa Mali yangu.

Au
2. Ukinipa pikipiki used kila wiki nawasilisha tsh 50,000 * wiki52= 2,600,000/= kwa mwaka(service zote kubwa kwa tajiri/kampuni na service ndogo kwangu).
NB: Pikipiki itaendelea kuwa Mali yako.

Tajiri au kampuni iliyotayari tukutane inbox tuyajenge, nipo Dar.
 
Wewe unapatikana wapi
 
Huku kwetu hio kazi leo ina mwaka wa 6 sasa tulishaanza
Nanunua pikipiki mpya kisha nampa mtu kwa mkataba kila siku alete Elf 10 kwamwaka inakua milion 3 na laki 6 akimaliza pikipiki inakua mali yake
Hio biashara tunaita PIKIPIKI YA MKATABA
Tuliamua kifanya hivyo kwasababu ukimpa mtu pikipiki akiletee kila wiki elf50 madereva wa boda wengi wanakua wizi
Mara unabadilishiwa spea mara tairi mara wanawapa maday waka
Tukaona ni bora tumpe ya mkataba ili aitunze akijielewa kuwa baada ya siku 360 ni pikipiki yake
 
Kwa mkataba ikipotea inakuaje mkuu...?
 
Lakn huwa hailipi mkuu, piga hesabu vizur utakuta umeingiza sio zaidi ya 3000 kwa siku
 
Kwa mkataba ikipotea inakuaje mkuu...?

Kabla ya kumkabidhi pikipiki anakuwa na dhamana ya kutosha,barua ya mtendaji wake wa kata,tunakwenda kujua anapoishi
Mikataba hufanyika kwa wakili
Na inachangia zaidi kwa huku mikoani asilimia kubwa ni waaminifu tofauti na dar
 
Lakn huwa hailipi mkuu, piga hesabu vizur utakuta umeingiza sio zaidi ya 3000 kwa siku

Hailipi kivipi mkuu?
Kila siku anawakilisha elf10 tu,baada ya miezi 12 yaani mwaka mmoja pikipiki inakuwa mali yake
Sasa mwaka mmoja una siku 360
Piga hesabu hizo siku mara elf 10 ni sawa na mil 3 na laki6 na pikipiki nimenunua dukani milioni 1 nalaki4
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom