Search results

  1. D

    Serikali ichukue hatua za haraka kwa uongozi wa Regional Air/Air Kenya

    General Manager Capt Hamza Mwapachu, ameendelea kuvunja sheria za Nchi kwa kuwapa barua wafanyakazi kusitisha ajira zao kwa sababu waligoma kusign mikataba mipya pasipo mikataba ya awali kusitishwa... Hamza amekuwa mkaidi pamoja na directors wa Airkenya na...
  2. D

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    Mimi na mke wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa muda wa miezi 6 sasa. Muda mwingi mimi huwa safarini kwa shughuli za kikazi kwa hiyo kukutana huwa si mara kwa mara. Mara ya mwisho yeye kuona hedhi ilikuwa tar 13Aug,tukakutana kimwili tar 24/25 kisha nikasafiri.Leo amenipigia simu anasema ameanza...
  3. D

    Tushare hizi namba kwa usalama wetu

    Wadau nimeona si vibaya kuweka hizi namba hapa, ili kila mmoja atakaependa aweze kuzisave kwenye simu yake kwa ajili ya dharura. Namba hizi ni za jeshi la polisi wa usalama barabarani. Kutokana na ajali hizi za kila siku ni vema kama watanzania tukashiriki katika kujali usalama wa maisha...
  4. D

    Sijui serikali ya CCM mtanishawishi vipi niwape kura 2015

    Maisha yamekuwa magumu. Bei ya mafuta imepanda Gesi bei ipo juu Maji ya mgao Umeme ndio usiseme, kila kitu kimepanda bei kwa ajili ya uzalishaji kuwa mdogo. Nikisema ninunue jenereta bado nakutana na mafuta bei ndio hiyo. Nitashawishika vipi kuwachagua tena kwa kipindi kijacho. Kwa nini sisi...
  5. D

    Mh Lema, tafadhali liangalie hili

    Najua unapita JF kwa hiyo sina wasiwasi na ujumbe wangu huu kwako. Arusha pale soko kuu kuna wimbi kubwa la watoto ambao umri wao unadhihirisha wazi kwamba wanatakiwa kuwa shule, na nahisi wengine wamekimbia shule ili wakafanye biashara ya kuuza mifuko na kubeba vifurushi vya wamama waliotoka...
  6. D

    Nitawezaje?

    1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu 2. Kujua kama simu yangu ni 3G, nini kinanionyesha hilo? 3. Kujua kama hawa Airtel wameondoa ile huduma...
  7. D

    T 814 BGZ Kilimanjaro Express

    juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza...
  8. D

    Kenya wao wameweza

    Serikali ya Kenya imeweza kujaribu kuwaondolea wananchi wake ugumu wa maisha kwa kupunguza bei katika mafuta. Kuanzia Kesho bei mpya itatangazwa baada ya kushusha asilimia 30 kwenye mafuta ya taa na asilimia 20 kwenye diesel. Namshangaa sana rais wetu pale anapong'ang'ania bei za bidhaa (sukari...
  9. D

    Legends mko wapi?

    Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi. Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu? Hao hapo kwenye red huwa wapo...
  10. D

    Ipi insurance Company bomba?

    Wadau nina kamkoko kangu nataka nikakatie comprehensive insurance, sasa ningeomba kwa anayejua ni insurance company gani si wasumbufu wa kulipa wakati wa misukosuko anielekeze, hizi ajali za kila siku zinatia simanzi pale ambapo umekatia ki-third party.....nashukuru kwa msaada wenu NB.....na...
  11. D

    Leo tuwafahamu devil worshipers

    Fuata link hii Signs of Satan!
  12. D

    Kwa nini Slaa asiwe rais kule alikoshinda?

    Ingekuwa fursa nzuri sana kwa ile mikoa yote Slaa aliyoshinda awe rais na mkwere nae awe kule kwake, ili kupunguza malumbano, naona tume inapata muda mgumu sana wa kuchakachua ilhali kuna shortcut. Nadhani watanzania hatutakuwa na pingamizi katika hilo
  13. D

    Mzee afariki kwa kumwagiwa upupu

    Wazee wanaodai mafao yao ya kustaafu, jana walifukuzwa mahakamani kwa kumwagiwa upupu, habari ya kusikitisha ni kwamba mzee mmoja amefariki kutokana na adha ile, watanzania tujiulize......ilishindikana nini kwa polisi kuwaondoa wale wazee pale katika hali ya kiustarabu na kulazimika kutumia maji...
  14. D

    LCD TV za Startimes ziko vipi?

    Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni nini atuelimishe, at least na sisi wengine tujidai na flat screen za bei rahisi
  15. D

    Hivi sababu hasa ni nini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na mtu mwenye nafasi yake nzuri katika jamii lakini ni shoga. Wapo watu wengi hapa mjini wenye pesa...
  16. D

    Hizi tabia zinakera sana

    1. Utakuta mtu anatembea barabarani huku anavuta sigara hajali kuwa moshi wa hiyo sigara yake unakera watu 2. Mtu anatembea barabarani anatema mate au anapenga kamasi hovyo hovyo kila mahali bila ustaarabu 3. Mtu anakupa business card siku unamtafuta ukipiga namba za simu zilizoko kwenye card...
  17. D

    Mikoko ya vodacom

    Wadau ningependa kuuliza na pia kujua, hivi haya makampuni ya simu hizi promoshen za magari wanazotoa huwa wanazingatia upatikanaji wa spea? sasa hivi vodacom wana hii promosheni ya mikoko aina ya hyundai, mkorea kwa hapa TZ ana nafasi kweli? sio nije nishinde na mimi naishi huku Namtumbo then...
  18. D

    Nywele sehemu za siri na makwapani

    Wana JF, ningeomba kufahamishwa nywele sehemu za siri na makwapani zina faida gani? na kwa nini tunazinyoa
  19. D

    Guess who?

    http://2.bp.blogspot.com/_uDjCUzboFtk/S7CY2BSvM5I/AAAAAAAABsw/KihrMRKn3NQ/s1600/DSC02458.JPG
  20. D

    Msaada wa tafsiri tafadhali

    Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza Fenesi Tope tope Stafeli Kweme na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili Asanteni
Back
Top Bottom