Sijui serikali ya CCM mtanishawishi vipi niwape kura 2015

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Maisha yamekuwa magumu.
Bei ya mafuta imepanda
Gesi bei ipo juu
Maji ya mgao
Umeme ndio usiseme, kila kitu kimepanda bei kwa ajili ya uzalishaji kuwa mdogo.
Nikisema ninunue jenereta bado nakutana na mafuta bei ndio hiyo.
Nitashawishika vipi kuwachagua tena kwa kipindi kijacho.
Kwa nini sisi wananchi wa kawaida tuteseke namna hii ndani ya nchi yetu, shauri ya viongozi wachache wenye kujali maslahi yao?
WATANZANIA WENZANGU, TUSEME IMETOSHA
 
CCM has an astonishing fan base and never banks on your single vote for its prosperity. While you keep on misprizing and repreciating CCM's efforts, to many of us it's regarded as our only remaining saviour.
 
NAKUONA mWITA MIMI NAITWA cHACHA!
UTAKUFA NA CCM YAKO!
 
watakupa sh. elfu kumi uwape kadi yako ya kura ili upate walau hela ya kubadlisha mboga........

Hapo utakua umewachagua tena!!!!!
 
CCM has an astonishing fan base and never banks on your single vote for its prosperity. While you keep on misprizing and repreciating CCM's efforts, to many of us it's regarded as our only remaining saviour.

Hiyo base unayoongelea ni kutumia ufukara wa watu kuwapa pilau na khanga ili wawachague. Kununua card za upigaji kura kwa buku kumi kumi
Hiyo base unayoongelea ni wizi na uchakachuzi wa kura kwa kutumia Tume ya Uchaguzi na watendaji wa serikali.

Pomoja na hoyo yote jiulize kwa nini CCM ilishindwa VIBAYA sana kwenye majimbo ambayo ni KEY? we count your days Mr Chacha Marwa Magwe Mwitaa.
 
watakupa sh. elfu kumi uwape kadi yako ya kura ili upate walau hela ya kubadlisha mboga........

Hapo utakua umewachagua tena!!!!!

sidhani kama hiyo hela nitaipokea, wenzangu na mimi mliopokea elfu kumi, tujiulize mpaka sasa hiyo pesa inatusaidia nini
 
wataiba tu kama kawaida yao, maana ni wezi kama mkuu Chimunguru alivyosema hapo juu.
 
Back
Top Bottom