Kenya wao wameweza

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Serikali ya Kenya imeweza kujaribu kuwaondolea wananchi wake ugumu wa maisha kwa kupunguza bei katika mafuta. Kuanzia Kesho bei mpya itatangazwa baada ya kushusha asilimia 30 kwenye mafuta ya taa na asilimia 20 kwenye diesel.
Namshangaa sana rais wetu pale anapong'ang'ania bei za bidhaa (sukari n.k) zishuke huku akiangalia mfumuko wa bei kwenye mafuta unavyopanda kwa kasi.Kweli Tanzania tutazidi kuwa kituko mpaka siku ya mwisho
 
Mkuu drogingcoco,

Sa nyingine inabidi kueleza ukweli wote, bei za mafuta Kenya hata wakitoa hiyo 30% unayosema ziko juu ya zile za EWURA, wao hawana kitu kama EWURA, jaribu kuweka data ili hoja iwe na mshiko.
Hizi comparisons za juu juu zitakufanya ujione mnyonge kila siku.
 
Mkuu drogingcoco,

Sa nyingine inabidi kueleza ukweli wote, bei za mafuta Kenya hata wakitoa hiyo 30% unayosema ziko juu ya zile za EWURA, wao hawana kitu kama EWURA, jaribu kuweka data ili hoja iwe na mshiko.
Hizi comparisons za juu juu zitakufanya ujione mnyonge kila siku.

Kenya: Fuel Prices Surge to Highest Levels Ever



FUEL pump prices last night jumped to their highest levels ever in the country after the Energy Regulatory Commission gazetted the new prices.
The huge increases set the stage for higher transport costs for motorists and public service vehicle passengers. The ERC authorised oil marketers to increase the price of super petrol by eight shillings to retail at Sh111.17 a litre in Nairobi with the northern town of Mandera seeing the highest retail price of Sh123.69 a litre. The ERC blamed the turmoil in Maghreb and Middle East countries for the price rise.
Diesel which rose by Sh13 and will sell at Sh107.52, regular at Sh108.17 and kerosene at Sh90.91, all historic highs for the products.
 
Bongo usitegemee kitu kama hicho yaani hiyo mijamaa imekaa tu kupasha moto viti! Kenya pamoja na matatizo yao bado wanatupiga bao dunia nzima!
 
Back
Top Bottom