SI KWELI Threads

  • Article Article
Nimeona barua ya Mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizitaka. Hii ni baaada ya balozi hizo kuanza kuingilia masuala ya ndani ya nchi kufuatia sakata la kukamatwa kwa viongozi...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
  • Article Article
Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo...
14 Reactions
93 Replies
9K Views
  • Article Article
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa kauli yenye utata kuhusu Afrika, akisema, “Afrika ni makaburi kwa Waafrika. Inawezekanaje makaburi yakastawi?” Putin ameeleza kuwa Waafrika waliofanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Wadau je ni kweli Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga? Maana ishu hii imekuwa kubwa sana ikizungumzwa naomba tuizungumze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Mdau kutoka PM Hello Jukwaa la JamiiForums na Jamii Check kwa ujumla. Mimi nina habari inanitatiza ambayo inaenea mitaani, na kila mtu anaamini hivyo, Kwamba ukila samaki pamoja na maziwa basi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimena video inasambaa mtandaoni ikionesha waandamanaji Nigeria wakisitisha maandamano yao baada ya kupewa mchele. Nadhani kwa Afrika ni Kenya pekee ndiyo vijana wake wanajielewa vizuri kuliko...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
  • Article Article
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article Article
Mawele
SI KWELI 
Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Mawele
SI KWELI 
Naomba msaada wa kuhakiki video hii kama ni ya kweli au imetengenezwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Kuna taarifa zinasambaa Mtandaoni zikidai kuwa tembe za Paracetamol zenye jina la P-500 siyo salama kwa afya. Taarifa hii inawataka watu kutukutumia dawa hii kutokana na uwepo wa virusi vya...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Article Article
Kupitia ukurasa wake wa X amesema "Kiukweli sijapendezwa na hizi jezi mpya za 2024/2025 maana zinafanana na vijora kwa hali hii nawaahidi wananchi hadi kufikia siku ya Mwananchi tutabadili hizi...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
  • Article Article
Kwa mara yakwanza Raisi wa heshima wa Simba Mo Dewji akubali yaishe kwenye suala la ku print Jezi Kali hapa Africa. Kwenye post yake huko mjini Twitter Mo amepost "hakika mtani (Yanga) kwenye...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Article Article
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
7 Reactions
19 Replies
10K Views
  • Article Article
Picha hii inadaiwa kuchukuliwa maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Inadaiwa kuwa twiga hawa wanasafirishwa kinyume cha utaratibu hivyo mamlaka za Serikali ikiwemo Polisi zifuatilie kwa undani suala...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article Article
Inadaiwa kuwa picha hii inamuonesha Mbunge wa Kaunti ya Tongaren Kenya, John Murumba Chikati akiwa amevamiwa na kushambuliwa na wananchi baada ya kupigia kura ya ndiyo Muswada mpya wa Sheria ya fedha.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article Article
Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
  • Article Article
Nimeshangazwa na baadhi ya video ambayo inasambaa WhatsApp na group zingine ikionesha robot akiwa shambani analima kama mtu vile, saa nikajiulza hii ni edit au reality nakosa majibu. Hivo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Article Article
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Bonny Mwaitege amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Bony alifariki katika ajali hiyo baada ya kutoka katika tamasha. Ni mmoja wa...
10 Reactions
64 Replies
13K Views
  • Article Article
Ninahitaji kufahamu ukweli kuhusu hawa watu wa UNICEF kutoa fedha kwa watu kupitia humanitarian Foundation kutoka kenya ni kweli au matapeli, maana wanakupa maelekezo kisha kukwambia ili upate...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Article Article
Klabu ya Simba ambayo ipo nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya 2024/25, leo Julai 14, 2024 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tersana FC inayoshiriki ligi daraja la pili Misri na...
21 Reactions
77 Replies
33K Views
Back
Top Bottom