SI KWELI Threads

  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na taarifa inayodai kuwa Mchezaji Kinda wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Lamine Yamal ana mtoto wa miaka mitatu. Taarifa hii imenistua sababu Kinda huyu...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Article Article
Nyendo
SI KWELI 
Nimesikia mtu akingatwa na mbwa mwenye kichaa anachombwa sindano saba kwenye kitovu, ikiwa ni njia ya kuzuia yeye asipate kichaa. Je, Hii ni kweli?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Dolphin had baby with a Cow Wakuu nimekutana nayo hii mtandaoni ni ya kweli? Je huyu ni mnyama gani
2 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article Article
Inadaiwa Mwendokasi mpya zimefika leo kwenye roro. Je, zitadumu?
15 Reactions
102 Replies
10K Views
  • Article Article
tripof
SI KWELI 
Nimesikia Tundu Lissu amekimbizwa Ulaya kulikoni jamani. Anaumwa nini tuambieni kilichomfanya kuacha mikutano na haraka haraka akakimbizwa nje ya nchi.
4 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Taarifa kutoka TUCTA Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article Article
Tangu Juni 18, 2024 nchi ya Kenya imetawala vyombo vya habari baada ya Wananchi wake kufanya maandamano wakipinga mswaada wa fedha (Soma hapa). Kufuatilia tukio hilo kumekuwa na picha mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Kumekuwa na video inasambaa siku hache zilizopita zikidai kuwa Waandamanaji Kenya wameiba farasi wa polisi na kukimbia nao. Video hiyo inamuonesha mwananchi anayedaiwa amepora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Habari ndugu wananchi, Kuna uzushi uliozoeleka hapa Tanzania kuwa "kinachosababisa NYOKA wa kijani kuanguka chini kutoka juu ya mti ambao chini yake Kuna watu wanapiga stori NI umbea, kwamba...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Jana kupitia mitandao ya kijamii kumezunguka nukuu mbalimbali za Mwenyekiti wa sasa wa Simba Sports Club Murtaza Mangungu. Miongoni mwa nukuu iliyonipa mashaka na kutaka kujua...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
  • Article Article
JHOBO
SI KWELI 
Kumetokea uvumi unaosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na uwepo wa ugonjwa hatari nchini CONGO DRC. Ugonjwa huo unasemekana kuenea na kuambukizwa zaidi kwa njia ya ngono. Pia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na picha ya ndege iliyopata ajali kwenye mtandao wa X ikidai ni ndege iiyopotea iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Rais wa Malawi. Je ni kweli picha na taarifa hiyo ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Heparin
SI KWELI 
Wakuu, Nimeona mtandaoni kuwa simba imemfuta kazi kocha wake wa Makipa Dani Cadena alizotoa kwenye vyombo vya habari akidai kuingiliwa kwenye majukumu yake. JamiiCheck tusaidieni kuihakiki maana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Article Article
Habari Wakuu! Nimekutana na picha ya habari toka Voice of Amerika Swahili (VoA Swahili) ikidai kuwa Tundu Lissu amethibitisha kupokea vitisho kutokea kwa Freeman Mbowe. Je ni kweli? Picha hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Nyendo
SI KWELI 
Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana. Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini? Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
0 Reactions
1 Replies
775 Views
  • Article Article
Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
  • Article Article
Nyendo
SI KWELI 
Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida. IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Nyendo
SI KWELI 
Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Kuna tetesi kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Article Article
Mawele
SI KWELI 
Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho. Je, kuna ukweli wowote?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom