omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,687
nitaitafuta mimi ni fan waoNdio hiyo imeachiwa tarehe 23/4
nitaitafuta mimi ni fan waoNdio hiyo imeachiwa tarehe 23/4
kweli.King nasikia kafanya yake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mwenye uzi alinyong'onyea sana baada ya uzi wake kuwa conqueredTena wewe nilikuona ule uzi ndio uligeuka wako.. hahah
Eti WIFIWajanja wameongezea kwenye Maslow's Hierarchy of Needs...
Mambo vip brother,Capitalpool mkuu naona fujo zako
SmileMillions reason to......
Ndiyo. Hovyo kabisa. Nilikuambia jana kuwa maisha huku uraiani magumu sana. Kwenye CHACHAWA maisha yalikuwa mwororooooo...[emoji23][emoji23][emoji23]Bro wamekukatia nini
Hahaha! Sime nje nje.bora nikimbie tu mkuu, vita ya mmasai na mmang'ati siiwezi! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli mkuu,, siku moja moja inatokea tuHuku alhamdulilah!...
Nimeona jana umelisukuma gurudumu mpaka mida flani sana tofauti na siku nyingine
Mlimkomalia mno duh![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mwenye uzi alinyong'onyea sana baada ya uzi wake kuwa conquered