Recent content by zegamba

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mkapa arudi kugombea urais 2015

    Mkapa ni jembe tuache ukabila na udini. Jamaa alikuza uchumi na kujitahid kupunguza den la taifa kias cha kusamehewa. Sasa deni la taifa 21t
  2. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Nipm ninazo cfa unazozihitaji
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girls na akina baba

    Ni kukosa heshima na utu dhidi ya mahg kusema wachafu. Uchafu ni hulka ya mtu. Kwani wapo wanawake warembo kwa nje ila ni wachafu kweli wananuka mkojo na jasho kali. La msingi ni mke kujua wajibu wako kwa mume na kutimiza. Ukishindwa utasaidiwa tu
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

    Kiukweli tigo wamelewa sifa. Wanachofanya ni utapeli kwan ukiona kabaang iko juu basi extreme wameshusha. Wakipandisha extreme kabaang ipo chini. Tena vocha zao kukwangua n ngumu na ukitumia nguvu kidogo umeharibu, lengo lao tununue nyingine. Chukua hatua tigo si baba na mama ako uing'ang'anie
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Utokaji wa bikra

    Ze duduz kasema vema. Bikira ni msichana ambae hajawahi kujamiana yaan uume haujaingia ukeni mwake. Hali kadhalika na mwanaume pia bikira ambaye hajaingiza uume wake ukeni tangu kuzaliwa kwake.
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwenye kufanya mapenzi nani husikia raha zaidi kati ya mwanamke na mwanaume?

    Mwanamke ndo usikia raha zaidi
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha watu kufanya test ya ngono kabla ya ndoa?

    Tatizo unaweza subiri ila ukawaunasaidiwa
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sanaa!

    We lea mimba yako. Mtoto akizaliwa atampenda tu. Kama vipi mwambie aandike kwa maandish kukana hiyo mimba, atie sain ya dole gumba. Atapohitaji mtoto baadae alipe ghalama zako zoteee
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mnafiki wa kwanza huyu hapa bongo muvi

    Kaka hoja yako haina mashiko. JB alicheka kama alivyocheka mtitu. Uchungu haumo ktk kulia tu! Cku nyingin leta hoja za kujenga.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU ni kifaranga, kwanini mwenye kifaranga chake anajificha..?

    Hiyo ni kauli iliyokosa mashiko. Kuwa wazi mtaje mwenye kifaranga tumjue au na wewe unamuogopa?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

    Dah adamu katutoka. Polen familia, polen jerusalem film hasa jb, polen wasanii wote na watz wote. Bwana ametoa na ....
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Je kuna ukweli kuhusu hii kinga thidi ya homa ya dengue ? Au ni upotoshaji. ?

    Kweliii ila asali ya nyuki wadogo
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake/wasichana mafundi ni Watanga na Wahaya?

    Wahaya hawajui mapenz kitandan
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Pata line ya tigo pesa na mpesa kwa bei rahisi

    We ndo mwenyewe au dalali?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego: JB naye ni kicheche kama Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

    Ney aligongewa demu wake akalia kama mtoto. Huyu jamaa hajielewi kabisa. Mziki umemshinda
Back
Top Bottom