Imeniuma sanaa!

pole sana dada yangu,hamna jinsi ni kujipanga tu,pengine baba mtoto siku moja atakuwa na busara ya kufanya majukumu yake haya ya ulezi!
 
Watu na ushauri wao bana, dah!

Hivi kuna mtu humu JF alishasema amewahi kutoa mimba?

Najua siku ukiamua kutoa hutatujulisha.
 
pole sana dada yangu,hamna jinsi ni kujipanga tu,pengine baba mtoto siku moja atakuwa na busara ya kufanya majukumu yake haya ya ulezi!

asante best.....nimejua maisha hayajawahi kuwa tambarare
 
Embu asikupe shida huyoo. Kaa jipange na ujue ni jinsi gani ya kulea huyo mtoto pindi utakapojifungua.
 
We lea mimba yako. Mtoto akizaliwa atampenda tu. Kama vipi mwambie aandike kwa maandish kukana hiyo mimba, atie sain ya dole gumba. Atapohitaji mtoto baadae alipe ghalama zako zoteee
 
am sorry to say this but hii tabia ya wasichana kukimbilia kubeba mimba sikuhizi kabla ya ndoa inanikwaza sana

katika wanawake wote hapa jf wee ndio mwenye akili. ...yaani wanawake wamekuwa so selfish.....wee hamna mtoto anayependa kuzaliwa nje ya ndoa....just becoz hawezi sema dnt mean haumii moyoni.

ladies need to get it in their heads kuwa mwanaume kukugegeda kavu dnt mean ataka mtoto...mwanaume akitaka kuzaa na wewe atakwambia tuu.

huu ni uzembe...wee unasoma bado tena wabeba mimba jamani loh....muwaomee huruma wazazi wenu jamani maana mcnuma janga hula na wa kwao
 
naelewa unachomaanisha

Kila mtu humu ndani ni mlokole, na kwa sababu yanayotusibu hata ukiyaandika vipi hayawezi kuakisi ule uhalisia wa tunavyoumia basi utaishia kupata majibu ya ki-theory tu.

Tena kimoyo moyo kuna watu humu ndani wangetoa mapema bila hata kufungua thread, ushauri wao sasa!

Akili ya kuambiwa ....
 
Ha mkuu ni wewe au!

Kweli umeokoka!
 
Kila mtu humu ndani ni mlokole, na kwa sababu yanayotusibu hata ukiyaandika vipi hayawezi kuakisi ule uhalisia wa tunavyoumia basi utaishia kupata majibu ya ki-theory tu.

Tena kimoyo moyo kuna watu humu ndani wangetoa mapema bila hata kufungua thread, ushauri wao sasa!

Akili ya kuambiwa ....

tatizo ni kuwa wakati mwingine mtu unashindwa kuyabeba yanayokusibu na unajikuta umeysema ili kupunguza mzigo ndani ya moyo wako
 
katika wanawake wote hapa jf wee ndio mwenye akili. ...yaani wanawake wamekuwa so selfish.....wee hamna mtoto anayependa kuzaliwa nje ya ndoa....just becoz hawezi sema dnt mean haumii moyoni.

ladies need to get it in their heads kuwa mwanaume kukugegeda kavu dnt mean ataka mtoto...mwanaume akitaka kuzaa na wewe atakwambia tuu.

huu ni uzembe...wee unasoma bado tena wabeba mimba jamani loh....muwaomee huruma wazazi wenu jamani maana mcnuma janga hula na wa kwao

Hii hata kwa vijana wewe kama msichana humpendi unajua unapita tu kwa nini unalala nae bila condom? Wasichana wanapenda kujibebesha mimba ili waolewe na mwanaume hana habari kama atabebeshwa jukumu la kuwa baba kabla ya wakt wake. Msilete watoto duniani bila kuelewana yaani hakikisheni mmefunga ndoa.
 
Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?

Kwa hiyo unashawishika kutoa?

kumbuka tunatofautina, pia hatujui mazingira aliyonayo huyu dada!
 
Back
Top Bottom