Wanawake/wasichana mafundi ni Watanga na Wahaya?

Wanawake/wasichana mafundi ni Watanga na Wahaya?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Inasemekana wanawake/wasichana wa kihaya pamoja na wale wanaotokea mkoa wa tanga ndo wanaoongoza kwa kuyajua mapenzi hasa hasa ya kitandani, kuna ukwel hapa?

Kwa wale waliowahi kugegedana na mademu wa kitanga na kihaya walete mrejesho wa swala hili.
 
Inasemekana wanawake/wasichana wa kihaya pamoja na wale wanaotokea mkoa wa tanga ndo wanaoongoza kwa kuyajua mapenzi hasa hasa ya kitandani....kuna ukwel hapa?
Kwa wale waliowahi kugegendana na mademu wa kitanga na kihaya walete mrejesho wa swala hili.

*******************************

Si wanaongoza...ni mala..................Nenda Buguruni......Nenda Mwananyamala ktk zile nyumba zilizojipanga utakuta kikoroboi tuu kinawaka we ukienda pale no kuuliza unachoma ndani tuu then unafuatwa nyuma....


Sikuhizi wanaojua mapenzi ni wengi....Wakatao viuno na wasio kata viuno ngoma droo...
Wenyekutumia madawa ya waganga na wasiotumia wenyekutumia mdomo na maneno matamu ngoma droo..

Mwanaume tuu kuruka ruka kwao...atakapo nasa ndipo hapo...Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, akijisikia mchovu....
 
mhhhhhhhhh, siku hizi bwana mambo ya kitandani ni uwezo binafsi wa mtu, hao unaowasema ni story tu za zamani.
 
wasichana wa tanga hatariiii unaweza ukapata 'convulsion' kwa mgegedo nimewahi kutolewa povu siku moja, ilibid nimwombe apunguze utaalam sio mchezo sikuamin kilichotokea. Kama una jini atatoka kbsaaa:what:
 
Watu wa waja leo waondoka leo hao.....mtuacheeee miaka mia. lol
 
anategemea na kiumbe uliyempta mkuu

kuna wanawake wanajua 6*6 zaid ya hawa watanga

na kuna watanga /wahaya wabovu
 
Back
Top Bottom