Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Shikamoo hommie wa umbuje.
marahaba umbuje wa hommie. hapo juu sijaandika mimi, usiende kunisemelea kwa mama.
Shikamoo hommie wa umbuje.
Siku mtakapo acha kuwadhaurau house girls na kuwaona kama wanawake wenzenu ndio mtashinda (stop looking down on house girls) tofauti yake na wewe labda ni elimu tu na wewe unafanya kazi kwenye ofisi na yeye ofisi yake ni nyumbani kwako. when it comes to sex,caring and compassion you r equal or even she is better than u so be careful.
@ hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?
U house girl ni kazi kama kazi zingine, hivo unahalalisha mme wako akatafute mchepuko nje? ,
hehehehe waambie hao wanaopenda kuvua pichu za kila wamuonaye mengne hata mswak hayajui kupga halafu wanaleta mbwembwe
Kama hg ni mchafu mbona unamwachia wanao akutunzie ma chakula awapikie!
marahaba umbuje wa hommie. hapo juu sijaandika mimi, usiende kunisemelea kwa mama.
[/B]
Nisichojua ni kwa nini hamuwaoi hao!
[/B]
Nisichojua ni kwa nini hamuwaoi hao!
Siku mtakapo acha kuwadhaurau house girls na kuwaona kama wanawake wenzenu ndio mtashinda (stop looking down on house girls) tofauti yake na wewe labda ni elimu tu na wewe unafanya kazi kwenye ofisi na yeye ofisi yake ni nyumbani kwako. when it comes to sex,caring and compassion you r equal or even she is better than u so be careful.
mtu unaishi nae nyumba moja, kuna haja gani ya ndoa hapo?.......ma hg wana joto zuri jaman....sitamsahau hg wangu wa kimakonde!
haa! Kumbe hujawahi kuona hausgeli kapindua ndoa?? Kuna baadhi ya hg ni visu tena bonge la heshma anakufanyia vitu adim zaid ya mwanamke ulienae sasa kwann nisi mpe haki yake aitakayo?
Nao wana haki ya kukatwa kiu.