Lucas Kashi
Senior Member
- Feb 28, 2014
- 105
- 18
Elimu imeninyima bingo hapo.
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
Mi nina nia ya dhati, lakini sina sifa hata moja kati ya hizo ulizozitaja hapo juu...........Nimesikitika sana, nimehuzunishwa sana na kusoneneshwa sana na kukosa sifa......Poor me!
Umesoma kilomita ngapi mpaka sasa hivi?
yule jamaa wa tiGO aliyemuacha vicky atakufaa sana
Eti eee?,ngoja nichangamkie dili mapema kabla zile 40M hazijaisha.Hahaa!
Dah sifa zote ninazo ila kigezo cha dini kimenitoa nje ya ulingo.
30 umri wangu.
Aaaah bwana,hata moja!,dah! basi poa bwana.
Ila dadaangu mwanaume at the age of 34+ awe hana mtoto wala hajawahi kuoa !!muujiza !
Umesoma kilomita ngapi mpaka sasa hivi?
afu nishakujua wewe, we si umesoma masters mzumbe, tena corporate
Yani bado una fikra mgando!,Dah pole sana.Natumai umenisoma.
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani