Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

Bro tigo iko vizur mfano now wana kifurushi cha ofa maalum ndani yake kuna kifurushi cha dakika 20 bila kikomo ambacho pia unapata 175mb kwa shilling 1000 ambacho unatumia mpaka pale zitakapoisha asa utapata wapi vitu km hivi mtandao mwingine

Hapo kwenye MB 175 ni utata
 
Hata mimi natoa shilingi ili hoja hii ijadiliwe kwa kina hapa jf.
 
Hata mimi natoa shilingi ili hoja hii ijadiliwe kwa kina hapa jf.
 
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.

Mkuu umenichekesha sana, sasa kuna uhusiano gani kati ya hizo mb na hiyo 150? Kweli tigo ni wezi,, mm nilihama siku nyingi baada ya kuona internet yao kwenye cm ya nokia x2 iko slow sana,, sasa nipo voda japo nao ni wezi.
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.

Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!

cc W. J. Malecela
Saidia kufuatilia na hili kama lile la NBC lilivyofika,
serious wanatakiwa wasikie hili.

Airtel nao waache kuanzisha promotion zisizo na tija kwao na kwa wateja pia. Ile ya vocha za YATOSHA sasa haina tija na wala haija exist 2 months, huu ni uvivu wa fikra na kushindwa kubuni na kujidhatiti kwenye soko!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli tigo wamelewa sifa. Wanachofanya ni utapeli kwan ukiona kabaang iko juu basi extreme wameshusha. Wakipandisha extreme kabaang ipo chini. Tena vocha zao kukwangua n ngumu na ukitumia nguvu kidogo umeharibu, lengo lao tununue nyingine. Chukua hatua tigo si baba na mama ako uing'ang'anie
 
Ni kweli kwamba tigo wameongeza bei ya vifurushi vyao?
 
mi wananishangaza siku hizi vifurushi vya min kabang vinaanzaia elfu 5 cha 3500 na elfu 2 wametoa
 
Uko nyuma mkuu katika hilo.....vodacom wanatoa dk 13 na mb 125 kwa shilingi 499
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.

Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!

Hamia AIRTEL kwani jirushe shiling 2500 unapata dk 225
 
Hivi ndio maana kwenye whatsapp nashindwa hata kudownload picha siku ya pili sasa

Nina galaxy s3 but tang nime inunua mpk leo nikidownload picha,audio,na video ina goma sa sijui tatizo hiki kifurush ninacho jiunga nacho mb zake ni kidogo? mb 150.
 
Back
Top Bottom