Ney wa Mitego: JB naye ni kicheche kama Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

Serious nililishwa tango pori,et Ney wa mitego ni mdada wa THT, nilipoambiwa ni mwanaume nilibisha hadi nkang'ata vidole. Lol kumbe ni wakiume! Sasa atajifananisha na Jitu Big JB, mbona vichekesho

hahahaha!!kweli hilo tango lilikuwa lenyewe
 
I like that that..hip hop. Bila Diss or Biff Haiendi ...ndio

hata sikushAngaa MwanaFA. Anavosema "WasengeWasenge"

Tanzania hii. Sio Ilee ya Nyerere au MwinyI..Tumekuwa viCtim wa GlobaliSM

Bado.."Bwana Steven Umekubali kumuoa bwana Bilal kwa shida na Raha "

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Njaa mbaya sana
bangi mbaya sana
umasikini mbaya sana
ulimbukeni mbaya sana
pombe mbaya sana
 
Ney ni mshamba tu,hajui music..hajui HipHop.. Anachojua yeye ni kuchokonoa watu ili apate mistari ya kuandika.. Sio mjanja na walee wote wanaom-support sio wajanja..bali ni m.a.f.a.l.a!!!!
 
sure thing wanajidai ck cjui domo.cjui blabla lakn ukiangalia sana ni ukahaba tu huu.hawana tofauti na wale wa sewa .kimboka na kwengneko
 
Ney c muimbaji wa hip hop. Aimbe taarabu inamfaa. Jamaa hajui kuimba. Ukicheche wa JB unamuhusu vp? Mbona asemi kuwa aligongewa demu wako?
 
Huyu Ney na yeye Demu wake Nisha si yumo kwenye Tasnia ya bongo movie? Na yeye(Ney) anawachukua hao hao mayala wa viwango!!

Wee waache wazungukane kama wanazunguka mbuyu,huyo dogo anata sifa na kuandikwa kwenye magazeti,badala ya kazi zake ndio zizungumze yeye kakalia kuwasema wenzake utadhani yeye ndie msafi,kajipa madaraka ya kuwasema wenzake wakati naye ni walewale,sijuianajiona yeye ni nani hadi awanange wenzake,ningekuwa mimi ningempeleka mahakamani ili liwe fundisho ,ni makosa kusema uongo na kumsema mtu maneno ya kumvunjia heshima mbele ya jamii.
 
atatokaje sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom