Nini chanzo cha watu kufanya test ya ngono kabla ya ndoa?

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Habari kwenu,

Tatizo ni kwa sababu ya mmomonyoko wa maadili na ndio maana watu wanaamua kufanya test kwanza?

Au ni kwa sababu bikra hazipo kwa pande zote mbili?

Au ni suala la kutoa mimba sana kiasi kwamba wengine huenda wakashindwa kuzaa?

Au ni tamaa tu?

Au ni kwa sababu wengine wanawaambia wengine subiri hadi wakati wa ndoa lakini kumbe wao walishagawa kwa watu wengine?

Nini tatizo kwa mtazamo wako?

Karibu kuchangia mada.

Angalizo kwa watu wa dini ya kikristo, msitumie kisa cha mke mzinzi kuhalalisha uzinzi na uasherati?
 
We subiri mpaka ndoa unaweza kuweka mwanamke ndani ukakuta wenzako walisha hama kula halali wanamla haramu tu
Na wewe hukuwa unajuwa maana uliheshimu taratibu sasa sijuwi utamfukuza au utavumilia
Inageuka kuwa bonge la mtihani kwenye maisha
 
Bora tu ku test kaka angu, unaweza kuta mtu hana....
samahani lakini
 
...ni mpango mkakati wa shetani kuhakikisho ndoa hazidumu maana ikianza na msingi mbovu lazima ibomoke tu...
 
Wanawake wengine wanajinsia mbili (shemale) ukiingia naye kwenye ndoa ni lazima uf*rwe
 
Kisa cha mwanamke mzinzi hakitoi justification yetote kwa mzinzi, kinaonyesha tu kuwa hata mala.ya ana nafasi ya pili, kwa hiyo akiamua kuiacha zinaa anakuwa msafi kama "bikra".

Uzinzi/uasherati ni changamoto kubwa ya kizazi hiki. Nadhani katika changamoto zote, uzinzi/uasherati unaongoza. Mathalani, mwambie mtu nina miaka 30 ila sijawahi kulala na mwanamke, sikilizia reaction yake.!!
 
ni muhimu hata kabla ya mtihani wa mwisho huwa tunapewa test kuna umuhimu sana
 
mabadiliko katka mfumo wa maisha unachangia zaidi maana maadili pia yanapotea.
 
wachumba wa kujitafutia ndo maana inakuwa hivyo, hata maana halisi ya kungwi imetoweka
 
tusiipe sababu hii hali sana sana tunampa tu shetani nguvu, kwa kweli ni makosa makubwa sana tunayoyafanya ila basi tu
 
Habari kwenu,

Tatizo ni kwa sababu ya mmomonyoko wa maadili na ndio maana watu wanaamua kufanya test kwanza?
Hili linachangia kwa kiasi kikubwa sana maana watu hawana hofu ya Mungu tena

Au ni kwa sababu bikra hazipo kwa pande zote mbili?
Hata kama bikra hazipo ukitest huwezi kuirusha so this is not true

Au ni suala la kutoa mimba sana kiasi kwamba wengine huenda wakashindwa kuzaa?
Si kweli kwamba kwa kufanya ngono kabla ya ndoa unaweza kuthibitisha kama mke anazaa ama hazai maana si kila ngono inayofanyika huzaa mimba

Au ni tamaa tu?
Hii inawezekana ikawa contributing factor

Au ni kwa sababu wengine wanawaambia wengine subiri hadi wakati wa ndoa lakini kumbe wao walishagawa kwa watu wengine?
siyo sababu hata kama ukisubiri mpaka wakati wa ndoa haina maana kwamba ukimkuta siyo bikra eti mtaachana

Nini tatizo kwa mtazamo wako?

Tatizo kwa mtazomo wangu ni wasichana wamekuwa warahisi mno hasa hawa wa kisasa ambao wanadhani eti maisha ni gari na kuwa na hela nyingi. Kwa hiyo wapo radhi kufanya chochote ili mradi wampate mwanaume wa kuweza kukidhi matakwa yao ili nao waonekane katika jamii.Nina mifano mingi sana ya wanawake kuwa warahisi hasa kwa mwanaume ei wao wanasema wanamchuna kumbe wanajichuna.Wanawake kwa upande wangu ndiyo janga hata kama ni kweli sisi wanaume ndiyo tunaowatongoza lakini wanawake wa kileo ni shida sana,unamtongoza saa moja kamili asubuhi then saa moja na dakika tano namaanisha baada ya dakika 5 unamchukua na unamfanya utakavyo.

Zamani hata kama msichana yupo interested na wewe alikuwa kwanza lazima akusome akujue kwa kiasi flan then ndiyo mambo mengine yaendelee lakini wasichana wa kileo siyo hivo wamejaa tamaaa tu na wengine wamejikatia tamaa,kwa hiyo wao wanafikiri kuwa ili ndowa iwepo lazima kwanza wavuliwe pichu.Na kuna wanaume washenzi sana wanawavua na wanawaacha hivo hivo.Mfano mzuri kuna mdogo wangu ameoa mwaka jana mwishoni ilibidi nimuite personal nimwambie kuwa kutembea na wasichana wengi si sifa bali ni ujinga tu na kujitafutia matatizo.Amewapanga wasichana tena wengine wana future zao mpaka wanampatia gari zao anakuja nazo nyumbani wakati dogo hana hata future.Kuna dada anafanya kazi Airport JNIA yaani alivosikia dogo katoa mahari kwingine alinifuata mazima akaniambia kuwa eti dogo kamharibia future.Lakini nikawaza nikajisemea moyoni wanawake mna kazi sana

Kingine eti hata wasichana wa kileo wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia eti kuna wanaume hawafaction kwa hiyo lazima eti kutest hahahaha ukifuatilia ya wanawake unaweza ukapasuka kichwa,kwa kifupi wanawake ndiyo chanzo wamakuwa warahisi kama sijui kukata biscuit kwa hiyo wamerahisisha kila kitu

Mkuu....sina cha kuongeza. You said it all
 
Niliwahi kuwa na dem mmoja ana k*ma kubwa kinoma,sina kibamia nna mashine ya kutosha tu but kwa yule mdada nilijidharau aisee.Nikiingia sifeel friction hata kidogo,nahisi yeye alikuwa hafeel kama kuna kitu kimeingia.Nilimpotezea aisee coz sio saiz yangu,sasa ukigundua uliyenaye ni wa namna hiyo baada ya kufunga ndoa si majanga.Kuna wanawake wana mishimo jamani mwee!
 
Back
Top Bottom