Recent content by ze amaizer

  1. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ni lazima mwanamke afike kileleni kila mnapofanya mapenzi?

    Kwan ww si fake? Haaa haaa
  2. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Mzumbe kinazidi kusahaulika

    Mleta mada nazan haujui maana ya chuo kikuu, tafadhal rudi ukasome
  3. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Ka ajira ka kudum haka hapa...

    Ujue watz tunatatizo kubwa na ni janga, watu kwenye story utasikia nataka kaz ya kulipwa 1m. Wakat kuna watu wanalipwa elfu 60 per month na kila kitu kwake, kwa ninavyojua hao watu sehemu ya mgahawa walio wengi wanalipwa 2500 had 3000per day, otherwise iwe hotel, mi nishakuwa na hiyo kitu na...
  4. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Ripoti kamili

    Cyo kukatisha tamaa huu ni wizi kama wizi mwingne anatakiwa awe jailed 10_15yrs ndo adhabu ya plagiarism.
  5. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Ripoti kamili

    Umeona yy hajaendelea mpaka sasa kwan hajui kama si yake? Na anajua kabisa plagiarism adhabu yake ni nn? Angekuwa kua chuo tayar ashadisco huyu!!! Edit pale juu kama mwandishi ni flani na siyo kujiweka ww ndiyo mwandishi wakati hata ujanja huo wa kufikili hauna!!
  6. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Ripoti kamili

    Hii story ni nzur mno, bt muwe mnaandika quotation coz hii ni plagiarism, ulichobadili ni majina na mwanzo kwamba ulikuwa ukitumia sigara na kuna mwingne pia ariiba akaandika alikuwa anatumia pombe huko insta na nilivyomwambia kama cyo yake akaniblock, naona ww umeamua kumodify kwa majina ya...
  7. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali msaada wenu tafadhali

    Nakuona bhana
  8. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

    Mm ndo huyo mdada, kumbe unakuja jf kuomba wakufundishe jinsi ya kutongoza afu unajitia na ww ni mwanaume, tafadhal usisogee kabisa mbele yangu!!
  9. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    Nakuunga mguu watu huzan kuwa vijijin si Tz wakat ndiko waliko zaliwa, afu kuna mwaka gani ambao mwez wa 12 kuelekea wa kwanza maisha yanakuwa mepesi? Too much polojo zisizo na kutumia akili waleta uzi itabid ziishie huko huko vichwan mwao
  10. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani unakimbiza kitaani kati ya hizi nymbo mbili?

    Haaa haa, kulalaa ww ni noma, chuna buz tena?
  11. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

    Duh we unatongoza had kuku?
  12. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

    haa haa, unategemea atakujibu sasa?
  13. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

    Haaa haaa, teh swali lako tyuu
  14. ze amaizer

    JamiiForums Tanzania Sipandi tena gari ya magazeti

    :-!:-!, umewamaliza hao
  15. ze amaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia yake inamtafuna

    Haaa haaa, hujaolewa ww bdo ndo maana unaongea hayo subr ukiolewa urudishe majibu hivi unajua wanaume walivyounfaithful? Unazani wanawake wote wanacheat ni kwamba hawajui huo ukimwi na hao wanaume ambao unawatetea ni kwa kiasi gani cyo waaminifu, angekuwa yy mwaminifu angesha tengeneza fumaniz...
Back
Top Bottom