Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Kaka jivike ujasiri mwambie ya moyoni, utajionaje kwamba umejichelewesha afu siku ya siku unapigwa chini.
 
Kaka jivike ujasiri mwambie ya moyoni, utajionaje kwamba umejichelewesha afu siku ya siku unapigwa chini.
 
ss il usiharbu mission yako io # nitumie inbox...
 
Kama yuko Alovera, jifanye unataka na wewe kujiunga huko alafau uwe karibu yake naye awe kama ndio mentor wako vile...
 
Wakuu katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu!

Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi!!

Sasa nimepata namba yake mahali, na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.. Yan kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka!!

Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke!!
Mm ndo huyo mdada, kumbe unakuja jf kuomba wakufundishe jinsi ya kutongoza afu unajitia na ww ni mwanaume, tafadhal usisogee kabisa mbele yangu!!
 
Mm ndo huyo mdada, kumbe unakuja jf kuomba wakufundishe jinsi ya kutongoza afu unajitia na ww ni mwanaume, tafadhal usisogee kabisa mbele yangu!!
Kwanini umegoma kunipa namba lakini??
 
mtafute muombe namba. akikataa mwambie utafanya juu chini hadi utaipata. baada ya siku mbili tatu mpigie. haitamstua sana.
 
Unachotakiwa kufanya ni kumchunguza pole pole anafanya kaz gani pia anapenda kupumnzika wapi wakat wa wikiend,anapendelea nni hada vtu vidogovidogo ee kama hivyo,baada ya hapo kama kazini, utaingia kiofsi theni utaimba kontact kama ni sehem alipo pumnzika jaribu kumsogerea na kumnunulia kinywaj anachotaka pole pole tu mbona mwanamke anaingilika tu bwanaaaa wee hahaha nigekuwa mm angeomba po huyo dem.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom