Ka ajira ka kudum haka hapa...

Ka ajira ka kudum haka hapa...

we ulitaka alipwe sh ngapi? ndo ninyi mnaokatiasha tamaa VIJANA kujiajir kwa ukosoaji usio na mantiki, wapeni moyo ili mtaji ukue ili waje kulipwa vizuri.
Ujue watz tunatatizo kubwa na ni janga, watu kwenye story utasikia nataka kaz ya kulipwa 1m. Wakat kuna watu wanalipwa elfu 60 per month na kila kitu kwake, kwa ninavyojua hao watu sehemu ya mgahawa walio wengi wanalipwa 2500 had 3000per day, otherwise iwe hotel, mi nishakuwa na hiyo kitu na nina experience.
 
Wataka kijana wa kupika na kupakua sio... Haya yakhe... Ngoja waje... Ila tatizo vijana wengi sasa hivi ndoto zao zipo kwenye kuendesha boda boda na kubet...
Mkuu umenikumbusha mmoja ya Wateja wangu alikuja nimtengeneze ili akienda kubet awe anashinda nilibaki kumshangaa nikamwambia tuu simple, system co mtu aliondoka na masikitiko kijana wa watu
 
Sasa si bora huyu anayelipwa elfu nne lakini kafanya kazi ya mikono yake na kavuja jasho kwa kazi halali.
Mbona wewe unauza papuchi hadi elfu mbili na bado unaishi dar??
Acha ushamba wa kishamba wewe
ha ha ha ha ha hah acha kuongea ukweli mkuu, siku moja moja uwe unaingiza tuuwongo kidogo. papuchi.......2000....mmmh
 
elfu 4 per day seriously?afu mtu aishije hapo dar sasa?
Ndugu yangu hapo wameguswa tabaka la chini kabsa kma kwako buku 4000 ni takataka kuna watu wanaziona kma dhahabu acha wafanye kazi kwa malengo ipo cku watachomoka hyo buku nne itakuwa m 4....hongera bro kwa kuanzisha hyo ktu,nkuombe tu usidhurumu mtu na uwape chakula kama ulivyosema...Mwenyezi Mungu akubark.
 
Dah!!pole kubwa tanzania yangu nakupenda lakini ...MUNGU tusaidie hivi kweli kama mtu nimchapakazi nikamlipa 6000 kile chakula uki comvert kwa thaman ya fedha ni zaid ya 4000 huyu mtu tayari analipwa 10,000... kunatatizo gani hapa????????? Basi bwana ngoja mwanangu akue nitaganya nae kazi duh...
 
Mjasiliamali nina local mgahawa vingunguti hapa nashukuru Mungu safari ya kuelekea utajiri nimeianza..sasa nahitaji kijana wa kiune mchapa kazi muelewa anaye fundishika na kujua nini maana ya kazi. Nahitaji aungane na mdada aliyepo niwakabidhi mgahawa mimi naanzisha biashara nyingine.. mshahara ni kati ya 4000 na 6000.. per day itategemea biashara ipoje kwa siku husika tuna pika supu asubuhi wali mchana na usiku.....utakula vyakula vyote bila nyanyaso ukitaka kukaa hukuhuku tuta arange... nipigie hata kama yupo unamjua niunganishe nae.....0714 045080....KARIBU...
uko vizuri kiongozi.
Mungu akusaidie ufike mbali.Wewe ni wa kuigwa
 
Sasa si bora huyu anayelipwa elfu nne lakini kafanya kazi ya mikono yake na kavuja jasho kwa kazi halali.
Mbona wewe unauza papuchi hadi elfu mbili na bado unaishi dar??
Acha ushamba wa kishamba wewe
nashukuru kwa matusi
 
Perry elf nne ni kubwa sana mm nimeshuudia kweny viwanda mtu anapewa elf 2150 per day asubui mpaka jioni bila chakula
 
Mjasiliamali nina local mgahawa vingunguti hapa nashukuru Mungu safari ya kuelekea utajiri nimeianza..sasa nahitaji kijana wa kiune mchapa kazi muelewa anaye fundishika na kujua nini maana ya kazi. Nahitaji aungane na mdada aliyepo niwakabidhi mgahawa mimi naanzisha biashara nyingine.. mshahara ni kati ya 4000 na 6000.. per day itategemea biashara ipoje kwa siku husika tuna pika supu asubuhi wali mchana na usiku.....utakula vyakula vyote bila nyanyaso ukitaka kukaa hukuhuku tuta arange... nipigie hata kama yupo unamjua niunganishe nae.....0714 045080....KARIBU...
Nan ataosha vyombo vya mchana,asubuhi na jioni?
 
Ila ss vijana ni wapuuz sana elf 4 mtu anaona ndogo ila angekua mchina au muhindi watu ungewaona mbio tena kule matus masimango kula unajitegemea nauli alaf unalipwa elf 4 ila kwa uyu mjasilia mali mwenzetu tunajifanya ndogo hili nitatizo kubwa sana
 
Dah!!pole kubwa tanzania yangu nakupenda lakini ...MUNGU tusaidie hivi kweli kama mtu nimchapakazi nikamlipa 6000 kile chakula uki comvert kwa thaman ya fedha ni zaid ya 4000 huyu mtu tayari analipwa 10,000... kunatatizo gani hapa????????? Basi bwana ngoja mwanangu akue nitaganya nae kazi duh...
nimekuelewa unalipa vizuri sana;
Supu + 2 chapati=2000 asubui
Wali + nyama=2000 mchana
wali + nyama =2000 usiku
mshahara 6000 per day
ukijumlsha hapa uyu mtu analipwa 12k per day na hapo ajapiga vya juu.
 
Back
Top Bottom