Nishawahi panda na nitapanda once again nitakapopata nafasi. I like gearing up untill you feel crazy!
High speed ina raha yake kama unauwakika na chombo chenyewe na uendeshaji wako haha.
Huwa wanawapa Magazeti bure so huwasimamishwagi... Kuna wakati nilipata emergency ya ghafla usiku na nilitakiwa niwe Arusha saa 2 asubuhi.. Nilikuwa na uchovu nikaona kudrive sitafika salama... Nikaenda kupanda haya Magari, asalaleee, kwanza karibia na Wami tulitaka kutekwa, alafu huo mwendo ni hatari, nilione isiwe kesi sana nilishuka pale Mombo nikatafuta sehemu ya kulala asubuhi niendelee na safarii..
Huo mwendo wanaoenda na ukijiuliza hii gari imeenda service lini na hiyo mirungi wanayotafuna hapo mbele ni mtu mwenye kichaa na asiyependa maisha yake ndiyo atakubali kumaliza safari..
mbona mi nililipia kwani huwa ni bure?
Mimi sikupanda bure kama ambavyo wewe umezoea. Halafu hujui ni haraka gani nilikuwa nayo mpk nikapanda hyo fastjet ya ardhini
wakati ulipata discounts tofauti kama ungepanda basi, ukakimbilia la magazeti kisa bei dezo, utadead weweeee
ndio ujifunzage sasa siku nyingine hiyo haraka yako itaishia uvunguni mwa fuso
Watanzania wengine wanashangaza sana, hiyo imeshaitwa gari ya magazeti wewe unapanda umekuwa gazeti?halafu unakuja kulia hapa
Watanzania wengine wanashangaza sana, hiyo imeshaitwa gari ya magazeti wewe unapanda umekuwa gazeti?halafu unakuja kulia hapa
Mkuu hongera yako kwa kushtuka. Kifo nje nje
Kufa wamekufa akina Isaac Newton, sembuse mimi?
HAhaha sasa si ulichelewa kufika A town?
Wakuu habari zenu,
Najuta na nathubutu kusema kwamba sitokaa nipande tena magari ya magazeti kwani spidi zao ni za kuogopa na kidogo tu tungepata ajali pale Wami kama si kudra za mwenyezi mungu.
Tulitoka Arusha saa 8 mchana na tumefika Dar saa 2 usiku. Kama una moyo mwepesi usije ukapanda hata siku moja.
Kule barabara mbovu, foleni, 50 nyingi, maroli Mengi Na wajuaji wengi.Of course barabara yao ndiyo hiyo.. Hivi vigari kwa mwendo wake ile barabara ya Morogoro kipande cha kuanzia Mlandizi mpaka Chalinze wangekuwa wanaua kila siku..
Kule barabara mbovu, foleni, 50 nyingi, maroli Mengi Na wajuaji wengi.