Faithful girl
Member
- Feb 2, 2016
- 55
- 18
Habari wana jf.mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20. Lengo langu ilikuwa ni kufika mbali kielimu ila nlishindwa kutokana na vikwazo ambavyo vilijitokeza baada ya kumaliza darasa la saba.hata ivyo nlijiendeleza baadae kwa kusoma sekondar ya miaka miwili(QT&SCEE)nataman kujiendeleza ila kwa sasa natafuta kaz yoyote halali itakayoniingizia kipato.naomba msaada wenu Tafadhali kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi.Mungu awabariki