wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,329
Bro kama kweli wewe ni nomaaaa
Mhhhh aiseeee naomba tu usikawie kuleta mwendelezo maana ni taaaaaaaaamu adi rahaaa
Hii story ni nzur mno, bt muwe mnaandika quotation coz hii ni plagiarism, ulichobadili ni majina na mwanzo kwamba ulikuwa ukitumia sigara na kuna mwingne pia ariiba akaandika alikuwa anatumia pombe huko insta na nilivyomwambia kama cyo yake akaniblock, naona ww umeamua kumodify kwa majina ya wahusika, mtunzi kabisa mdada aliitwa betina, ww ukaamua kukata jina kwa mbele na yy aliandika english na kwa vile watz wavivu au wengi hawafahamu ngeli basi ulivyotafsiri ukaonekana kama mtunzi ni ww. Bt watz tujifunz kuappreciate cha wenzetu na cyo kuiba na kukifanya chetu tutakuwa hatuendelee kwa wenzetu kwa hili ulitakiwa uwejela nw... sorry for interruption
Umeona yy hajaendelea mpaka sasa kwan hajui kama si yake? Na anajua kabisa plagiarism adhabu yake ni nn? Angekuwa kua chuo tayar ashadisco huyu!!! Edit pale juu kama mwandishi ni flani na siyo kujiweka ww ndiyo mwandishi wakati hata ujanja huo wa kufikili hauna!!Watu wengine bwana,umeathirika wapi jamaa kutupatia hii story?
Mzaramo tupe vitu bana.
Cyo kukatisha tamaa huu ni wizi kama wizi mwingne anatakiwa awe jailed 10_15yrs ndo adhabu ya plagiarism.Jaman ata kama sio yake we kimekuuma nin jamanii nyie ndo wale mnakatishaga watu tamaawastuletee uku stry....