mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 589
kwan haiwezekan kujifunza za watu km ni nzur?
Wanawake wa kidhungu wana maneno kuntu kama ya kwenu? Mbona hamjifunzi?
kwan haiwezekan kujifunza za watu km ni nzur?
Wanawake wa kidhungu wana maneno kuntu kama ya kwenu? Mbona hamjifunzi?
wengi wapo hvyo
atatukanwa tu mana hamna namna nyingine.
Okay we are Africans and nothing gonna change that, how about you getting a Muzungu and stop bragging about them.mzungu hata kama shida yke ni sex hawez kukupa maneno machaf
kaka angu umwache na nani???Hahaa ukuwatukana nao wanatukana kama hawana akili nzuri. Hem bibie na mimi nipeleke huko kwa wazungu na mie nikapendwe
Hao wakizungu umewaona wapi? Kwenye tamthilia au?
Kwani mzungu ashawahi kukunaniliu...
Kuku wa kienyeji ukimtongoza lazima akutole maneno machafu.. Kuku wa kizungu ukimtongoza ndio kwanza anaongeza urafiki kama hakutaki.. Hivi kwann kuku wa kiswahili wanakuwa hivi jamani
kaka angu umwache na nani???
Yani sikuelewi kabisaaa
Ni wewe kweli......!?Hahaa ukuwatukana nao wanatukana kama hawana akili nzuri. Hem bibie na mimi nipeleke huko kwa wazungu na mie nikapendwe