Recent content by yusuphu lubuva

  1. Y

    Wimbi la wadada kutafuta wanaume wa kuwaoa

    Ni furaha yangu kwa kushika nafasi ya pili kucomment..sema mkuu joverist we noma kwa kweli
  2. Y

    Kwa wadada waliopo morogoro

    Wakuu za mida hii...nipo mkoani morogoro kikazi wiki mbili hivi,nilikua makao makuu ya shirika LA wakimbizi pale ubalozini UNHCR,nahitaji company ya mdada wa jf kula bata, Kwa watakao kuwa interested PM Asanteni
  3. Y

    WHATSAPP FACEBOOK NA INSTAGRAM hazifanyi kazi kwa upande wa picha video na audio

    Nimejaribu kumcheki jamaa yangu hapa los angel kumbe tatizo lipo kote
  4. Y

    Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    Njoo inbox natafta mke
  5. Y

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Hivi inakuaje kwa wale wenye matatizo hasa kusikia? Oral watafanyaje
  6. Y

    Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB

    Upande wa physics Chand's principle Nelkon Roger Mancaster Notes za moddy commissioner Upande wa chemistry Tafuta notes za mbuga au ngaza vitabu si ishu Upande wa biology chukua Biological science (BS) Mengine nimesahau wahenga watakukumbusha
  7. Y

    BASI GANI NI ZURI KUPANDA KUTOKA DAR KWENDA KONDOA?

    Chukua machame mkuu..ila uwah kukata tiketi Siku moja kabla ya kuondoka...mapema tu unaingia kondoa
  8. Y

    House4Sale Nyumba nzuri furnished inauzwa bil1 na 35

    Mkuu embu toa maelezo ya kutosha juu ya eneo iliyopo nyumba pamoja na location maana umetaja lakke phase tu,nimevutiwa na hiyo nyumba afu billion moja sio kitu maana sio wote makupuku unavyofikiri Kama Upo seriously njoo inbox kama huwez kuweka details za kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Y

    Mke wa rafiki yangu kanirushia uchi wake whatsapp kimakosa

    Nimekupm mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Y

    Naombeni msaada

    Nitumiale akaunti namba Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Y

    Riwaya: Kijijini kwa Bibi

    Cheers Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Y

    Mnaoomba vyuo epukeni kozi hizi kama hamna channel

    VP kwa upande wa diploma in pharmacy ni nzur level ya kuajiriwa au kujiajir maana na mpango wa kumpeleka ndugu yangu akapige diploma.. Ushaur wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Y

    Mshahara ngazi ya Diploma

    Vipi kwa ngazi ya Afya kama pharmaceutical technician, clinical officer? Hospital hizi za mikoa na wilaya Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Y

    Riwaya: Mkono Wa Chuma

    Usisahau kunitaga story zako unazo post mkuu.. Ziko njema Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom