Wimbi la wadada kutafuta wanaume wa kuwaoa

Wimbi la wadada kutafuta wanaume wa kuwaoa

mysara2011

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
69
Reaction score
84
Unajua hizi siku za karibuni nimekaa nikajiuliza sana.Hivi kwa nini siku hizi kuna wimbi kubwa la wadada kutafuta wanaume in social medias mfano; Facebook unaweza ukakuta tu post mdada anajitangaza anatafuta mme wa kumuoa.Je ni kwamba wanaume siku hizi mmekuwa adimu sana , au hali ya uchumi sio nzuri kupelekea vijana wengi kutotaka kuoa au ni wanawake wengi siku hizi tuna sura za baba .Maana ukiangalia Enzi za wazazi wetu mwanamke alikuwa anatafutwa na kuombwa pengine hata wazazi wa pande mbili zote kuhusishwa tofauti na hichi kizazi chetu cha 90's yani wadada ndo wamekuwa watu wakutafuta waume hivi ni wapi hichi kizazi tunakosea?
 
Wadada wengi wanapenda wanaume wenye magari. Sie wenzangu na mie tunashindwa kuwamudu!
 
Inshu ilianzia Beijing China. Mlishikishana masikio mkaja na kauli mbiu yenu Mwanamke na Mwanamme wote sawa(SHUBAMITT ZENU MLIOITKIA ILE KAULI MBIU). Kikao cha kiumeni kikaa na kuja na ile dawa PIGA sepa hakuna kunogewa ukinogewa utaku na nduguzo...
Tunaoa lakini agizo alitulisahau..
 
Back
Top Bottom