Mshahara ngazi ya Diploma

madata84

Member
Jan 17, 2011
49
2
Habari zenu wana jf, naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diplona ni kiasi gani kwakuanzia.
 
Swali lako ni too general,

Niseme tu itategemea ni Diploma ya Taaluma gani na pia Mwajiri ni nani,unless kama ni mwajiri ni serikali vinginevyo hauwezi kupata jibu la usahihi katika hili.

Ushauri: Kuna watu unaowafahamu,waliokutangulia hapo chuo kwenye fani unayosoma na sasa wanafanya kazi, waulize hao.
 
inategemea kazi unayofanya na taaluma uliyonayo na uzowefu katika hiyo kazi. sikuizi mshahara hauka fixed kwa kila mtu ni jinsi utakavyo juana malipo tuu kwenye interview
 
Asante kwa ushauri ni Diploma ya Social Science, kuna tangazo la kazi nimelipata wanataka uandike na kiasi cha mshahara ni kwenye NGO
 
inategemea kazi unayofanya na taaluma uliyonayo na uzowefu katika hiyo kazi. sikuizi mshahara hauka fixed kwa kila mtu ni jinsi utakavyo juana malipo tuu kwenye interview
Asante mwana jamii mwenzangu sijaariwa kabisa ndo ninaanza, kuna tangazo la kazi nimeliona humu jamvini na wanataka katika maombia yako uandike na kiasi cha mshahara nina diploma ya social science na nafasi ya kazi ni kwenye NGO.
 
Asante kwa ushauri ni Diploma ya Social Science, kuna tangazo la kazi nimelipata wanataka uandike na kiasi cha mshahara ni kwenye NGO

Usiogope sana mkuu, wewe andika kiasi unachodhani kitakidhi mahitaji yako na kukufanya uridhike na kuifanya kazi hiyo vizuri, jithaminishe mwenyewe.

ONYO: Usije ukaandika fedha kidogo kwa sababu unahitaji saaana kazi na mwishowe ukaishia kuwa mnung'unikaji tu, by the way ata usipoajiriwa bado utaweza kufanya shughuli zako mwenyewe na kuwaajiri wengine, jiamini na uchukue hatua!!
 
Yani watu sijui mnakuwaje, mshahara ni pato la mtu, ushwahi kuona pato la mtu linakuwa published,
ACHENI UJINGA, MSHAHARA NI SIRI, WEWE KAMA UNATAKA KAZI NENDA HUKO HUKO UKISHINDWA SI UTAACHA?

UJINGA MTU KUULIZIA MSHAHARA KABLA HUJAINGIA HUKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom