Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Kama wanaume wanapata wanaume wa kuwagegeda humu.mi ndo nitakosa laki?
Sent using Jamii Forums mobile app




Jamani Leo nimefulia sana.ukimuomba mwanaume hela unaonekana una tabia mbaya.
Kuna asiefulia jamani
Naombeni laki wakuu nitarudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefutwa kipindi ambacho nimemjua Yule jamaa
Plan b ndo wapi mkuu?Nakupa direction Miss Natafuta njoo plan b utanikuta
mkuu haunaga namba ya reserve?,yaani vijana wanatembea kutwa kusajili unakosa namba ya reserve?Hapo pagumu labda niifate
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeomba kwa yoyote bna.Pole sana kwa kufulia mwanamke mwenzangu. Ningesaidia ila umeomba msaada wa wanaume.
Mawazo ninayo ya kunitoshaWengine hatuna hiyo laki moja... Labda msaada wa mawazo yakinifu
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Nimeomba kwa yoyote bna.
Ila kwa mwanamke nitarudisha mwisho wa mwezi
Kwa wanaume baada ya week mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wanaume wanapata wanaume wa kuwagegeda humu.mi ndo nitakosa laki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamini? Mods alifanya editing, kwanini hakufuta alipofanya editing?
Sawa,
Sasa account no si in jina jamani?Kuna post hapo juu umesema unaogopa kuweka namba (ya simu). Weka benki akaunti namba basi.