injinia muha jv
Member
- Jun 5, 2019
- 55
- 34
Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB
Kaka sijakuele samahani lakiniBS..Chandy ya Physics.. Chem notes za ngaiza[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawapendi kufuatilia nyuziNakutakia masomo mema dogo, ukihitimu uje tena hapa tutakuonesha uzi wa Physics ili uje ucomment
[emoji2][emoji2][emoji2] Ngoja akaanze kujiita Dokta kwanza kabla hajaanza kupanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawapendi kufuatilia nyuzi
Kila la Kheri....ila usijiite docta saivJf mko POWA me nilikuwa naomba mnipe muelekeo wa vitabu gani vyamuhimu kununua kwa kombi ya PCB na vinauzwa shilingi ngapi na majina yake na vyenye notsi nzuri
Niliwahi kulipia topic moja tu ya Kemia tuition.notsi za Mkandawile.
TehNakutakia masomo mema dogo, ukihitimu uje tena hapa tutakuonesha uzi wa Physics ili uje ucomment
NelkonTeh
Dgo asisahau muncaster roger
Understanding biology
Biological science
Chand Bios
chand physic
Chand chemistry
Ramsden
Schaummer series
3000 solved questions of physics
Understanding physics
Chand electronics
Chand modern physics
Chand inorganic
Chand organic chem
Na vingine viingi
teh ...
Mi ndy mana ni kama vile najutaga sana kwenda advance....vitu vya ku-cover ni ving sana ndani ya muda mchache...ni kama kupoteza mda tuu hlf ni garama sanaTeh
Dgo asisahau muncaster roger
Understanding biology
Biological science
Chand Bios
chand physic
Chand chemistry
Ramsden
Schaummer series
3000 solved questions of physics
Understanding physics
Chand electronics
Chand modern physics
Chand inorganic
Chand organic chem
Na vingine viingi
teh ...
Mimi mwenyewe nilikomaa na notsi zake. Kuna mtu alisoma tuition kwake nikaazima daftari nikacopy baadae nikakomaa kusoma. Chemisrty nilifaulu vizuri.Niliwahi kulipia topic moja tu ya Kemia tuition.
Zingine nilikomaa na notsi za huyo jamaa hadi niliambulia B ya kemia NECTA na kujipatia one yangu safii ya PCB.
Mi nilikopi notes zote za Organic Chemistry, Kilikuwa kitini kimechapishwa kwa rangi ya kijani.Mimi mwenyewe nilikomaa na notsi zake. Kuna mtu alisoma tuition kwake nikaazima daftari nikacopy baadae nikakomaa kusoma. Chemisrty nilifaulu vizuri.
Mbuga, Mkandawile, Muddy.
They are the Best.
Best material kwa sasa ni kama hiv mkuuJf mko POWA me nilikuwa naomba mnipe muelekeo wa vitabu gani vyamuhimu kununua kwa kombi ya PCB na vinauzwa shilingi ngapi na majina yake na vyenye notsi nzuri
TehMi ndy mana ni kama vile najutaga sana kwenda advance....vitu vya ku-cover ni ving sana ndani ya muda mchache...ni kama kupoteza mda tuu hlf ni garama sana