- Thread starter
- #301
Kakaze dogo utatoboa tu iko hivi swali la kwanzanipeni mwongozo wakuu, nina alama ndogo japo nmeitwa
1.Tell us about your Self
2.Your Responsibilities as Security Officer
3....... Hapa lolote utaulizwa jiamini tu.
Pia 37 sio ndogo maana nimeona pale score marks Total ni 60% ukiileta 37 katika 100% ni sawa ume score 61% na katika Oral mnaanza upya yaani hawajumlishi hizo marks hivyo unaweza kuta mtu ana 100% ila akija Oral kazi Asipate akapata aliye score 60 au 50.