WHATSAPP FACEBOOK NA INSTAGRAM hazifanyi kazi kwa upande wa picha video na audio

Iwilliam

Member
May 10, 2015
90
30
Shida kubwa ni hizi app hazitambui images videos na audio na hii ni 100% security issue sijui kama ni *haking* au *update za security*
Screenshot_20190703-221139_WhatsApp.jpeg
Screenshot_20190703-221943_Lite.jpeg
 
Naaaam karibuni jf......

Telegram ndio wakati wakutanua huu
 
Sijafungua hizo app siku mbili sasa..ngoja niingie nione kinachoendelea
 
Back
Top Bottom