itafika wakati atataka kumuuza ad bruno wasipoangalia mana, huyu kocha hana mbinu za kiufundi kabsa kashusha viwango vya wachezaji toka aje mfano daniel james, bissaka , maguire, hata bruno ukianza kuangalia unaona ananza kushuka na si ajabu hata sancho akaja akawa boya tu, mana kocha hatuna...