

Na tm ndogo ndio nyingi so huwezi kupata kombe la ligi km unafunga tm kubwa pekee.Sijui kwanini Ole akicheza na timu ndogo anapata shida sana kupata matokeo chanya!
#JiweGizani
mkuu umenena vema ila kiukweli Ole kiufundi na uwezo bado kuweza kufundisha club yenye pressure kubwa kama utd, hana mipango ya ushindi kila siku anakuja na kikosi na mfumo mpya wachezaji watacopy vip. Ole ni kocha anaetaka kujificha nyuma ya uzembe wa kusajili wakati ana kikosi kipana. Nakuhakikishia mkuu hata man utd aje mess na Ronaldo na mbape Ole hawez kutupa matokeo sahihiOn/off zimekuwa nyingi sana na ndio maana tunaendelea kusema ushindi wa timu ni juhudi za wachezaji na si mbinu za ogs. Haya,tuna match fitness,kikosi kipana na tumepata mfumo/kikosi cha kwanza Ila tunafungwa na arsenal yenye bukayo saka!
Kuja na hoja ya kumkosa martial na/au Sancho haiwezi kuwa sababu kwanini timu inacheza back pass kila muda.
Mbali na kuzidiwa mbinu na arteta tangu mwanzo wa mchezo,tatizo kubwa la man utd ni kuwa na work rate ndogo ukilinganisha na wapinzani wetu,mwalimu kuwaogopa pogba na rashford kufanya vitu kwa mazoea.
Ni yeye5POGBA MITANO TENA![]()
Sawasawa.POGBA SASA AMEKUWA MZURI SANA..HAPO KATIKATI KUSHOTO ANACHEZA VIZURI SANA, KWANI ANAPANDISHA MASHAMBULIZI NA ANARUDI HAPO KWA SHAW KUMPA TAFU, KAMA ULIANGALIA MECHI YA UCL UTAELEWA.

Unasemaje,Mbn hujiamini![]()
Sawasawa, lete matokeoAsernal huna timu ya kuishinda ManUtd, jipe moyo