Niliuliza makao makuu Selcom wakasema hawana wakala mkuu na benk zinazotumika ni kwa ajili ya kudeposit tu sio kutoa , Hivyo ukiwa na float nyingi inabid utafute wakala mwingine umpunuguzie ambayo ni ngumu
pole sana mkuu hiki ni kisiki kizito na sio rahis kupata suluhisho haraka wakati kodi inaenda
Kuna namna kadhaa chagua itakayokufaa
1. kutengeneza hali ya kutegemeana kwa maana uwe unauza jumla wao wananunua kwako kwa kuwa wewe unafrem utakuwa nau mtaji na utaalam hivyo tafuta machimbo ya...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Habari wakuu
Wananchi wa Tanzania wameguswana sana na kifo cha Sultan Qaboos bin Al Said,Pia viongozi wametoa pole katika mitandao ya kijamii na wakati akiumwa wananchi wengi walimuombea apone . Hata leo wengi bado wameweka status zakumkumbuka
Ukizingatia uhusiano mzuri na historia pana...
"I'm happy with a draw because I'm both a Ugandan and a Tanzanian, all my countries won."
Rais Museveni alisema katika mechi iliyopita bora draw kwani yeye ni raia wa nchi zote. Tunashukuru leo kutusupport tumeweza kwenda AFCON
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba.
Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu.
Sasa tunaomba uchukue hatua suala kubeti kwani nalo linaathiri sana vijana pesa chache wanazozalisha...
Wakati suala la mheshimiwa Makonda likishika kasi kwenye vyombo vya habari inabidi tujiulize nani alishindwa kuona udhaifu wake aliyemlea au aliyemleta kwenye siasa au aliyemdumisha kwenye siasa.
Mheshimiwa Sitta aliona kipaji gani kwake mpaka wanasema alimpenda sana na akamuingiza kwenye...
Kulikuwa na habari kuwa january 2017 itakuwa mwisho wa utumiaji wa mifuko ya plastiki ila mpaka hii machi kimya. Ingawa mifuko ya plastiki tunaihitaji sana ila bado jitahada za kupunguza matumizi yake lazima ziwepo
Kwa maoni yangu naona pawepo na jitihada za kupunguza utumiaji wa plastiki kwa...
Habari wakuu
Kuna matangazo mengi ya vitu ambavyo mtoto chini ya miaka 18 haruhusiwi kutumia lakini tangazo linakuwa kuubwa mwishoni ndio unakuta hilo onyo
Kwa mzazi yoyote atakubali kuwa haya matangazo jamii ya kwanza kuathirika ni watoto kwa kuwa wao ndio wanatumia muda mwingi kwenye TV na...
hii habari ya zamani sana ya kuzushwa na inasemekana ilitokea Germany ila naona watu wameamua kuichachakachua kufanya niwa TZ (tuangalie ukweli wa story kabla hatujasambaza )
Why Would A Certain Hoax Story Be Reported For So Long? - Less Wrong
Mtoto kufanan na female ex-partner ni suala lililofamhamika toka enzi za kina Aristotle. Theory hiyo inaitwa Telegony na ndio maana wafalme wengi walishauriwa wasiowe watalaka/wajane. Ingawa baada ya sayansi ya genetics kugunduliwa hiyo fikra ili pungua nguvu.Mwaka 2014 wanasayansi wa...
Habari waungwana
Tushauriane busara gani itumike kukomesha mauaji ya watumishi wa serikali maeneo haya?
Kuna haja busara itumike kutafuta mzizi wa tatizo hili na suluhisho la kudumu kwani katika kanda hiyo kumekuwa na matukio ya vurugu kwa miaka karibia mitano iliyopita na mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.