Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Ukiangalia mdomo vizuri na macho ya mtoto ni wa diamond ukiangalia kishabiki kwa kuona unene wa mashavu ya mtoto mchanga na hayo ya bia kwa nyama choma ya mshikaji unaweza ukaamini niwa jamaa .
 
Mtoto Akiwa Mchnanga kama Alivyo NILLA mwenye haki ya kumuangalia Na Kusema huyu ni mtoto wetu au sio wetu ni Mama Ake Diamond na Shangazi zake Diamond basi! Hao ndio wenye mamlaka hayo Diamond hata akikataa mtoto hao wakisema huyu ni mwanao basi ni mwanao kweli!

Mama Diamond hakuenda South kumsaidia Tuu Zari kujifungua bali ni kumkagua pia mtoto na kujua kama ni Wao au sio Wao ndio maana Kukawa na 40 kama mama Diamond angesema sio mtoto wao basi hata hiyo 40 ingekuwepo!

Labda tuwekee picha ya Diamond alivyo kuwa mtoto umri sawa na Nilla halafu tuwekee na Picha Ya IVAN alivyo kuwa mtoto kama Nilla then tuangalie ila kumringanisha Diamond anae fanya Mazoezi kila kukicha kumaintain Body yake na Kumringanisha na Mtoto anae nyonya na Kula tuu maishaa hajui chochote hana mawazo ni Ujinga! Kumuweka na mtu mwenye maisha yake anae kula kila anachotaka hadi shavu linamtoka ni ujinga pia!)18010

Msisahau hata Tiffa mlianza hivi hivi ila kadri siku zinavyokwenda Siwaoni tena! Wekeni akiba ya Maneno Yenu......Nyie mnahangaika kumchafua Diamond lakini naamini IVAN ndo mtu alie sumbuliwa sanaa ili Amchafue Diamond lakini yupo kimya!
 
Mtoto kufanan na female ex-partner ni suala lililofamhamika toka enzi za kina Aristotle. Theory hiyo inaitwa Telegony na ndio maana wafalme wengi walishauriwa wasiowe watalaka/wajane. Ingawa baada ya sayansi ya genetics kugunduliwa hiyo fikra ili pungua nguvu.Mwaka 2014 wanasayansi wa University of New South Wales waliirudisha hiyo habari kwenye headlines kwa utafiti waliofanya. fuata hii link Could previous lovers influence appearance of future children?

ukitaka kuelewa kisayansi zaid soma hii makala
Epigenetics Telegony and Fatherhood
 
View attachment 474822
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
20170314_050350.jpg
 
Dai sio mjinga nahisi pia ye ndo anaujua ukweli kama wake, au wa nani
 
Back
Top Bottom