Kifo cha Saitoti -Tujikumbushe paruwanja la mihadarati Kenya -Tanzania tujifunze nini?

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
Tuangalie video hizi kujua viti ya madawa ya kulevya ni ngumu ikihushwa na kifo cha Saitoti na wengine wengi

Angalia vidoe ujifunze mengi






 
Tuangalie video hizi kujua viti ya madawa ya kulevya ni ngumu ikihushwa na kifo cha Saitoti na wengine wengi

Angalia vidoe ujifunze mengi







Duh!! Hapa ndio inanifanya nimuone Makonda kua anafanya Maigizo.
 
Naamin kila nchi kuna kiwango tofaut cha ukubwa wa magenge na biashara yenyewe. Kwa Tanzania tunachohitaj zaid ni UTASHI WA KUPAMBANA ..kama alivyothubutu kuanzisha Makonda. Maana miaka yote wenye UTASHI huo na vitendea kaz waliishia kudai wana orodha baaas! Mi naona rc kajivika kengele. Mwenye nia nzuri na zoez hili naye aanzie hapa kusupport zoez. Tuache hata hatua chanya ndogo vipi kuibeza. Tushauriane. Tushirikiane. TOGETHER IT CAN BE DONE!
 
Tufanye kama rais wa Ufilipino ni mwendo wa kuwatwanga risasi tu maana hata wakipelekwa mahamani hayafungwi tuwachape shaba tu mbona watapungua kama siyo kuisha kabisa
 
Jamani kumbe hii vita si ya mchezo. Mungu awalinde viongozi wetu. Kumbe inawezekana hata wanao watetea hao kina Wema Sepetu, ndiyo kazi yao.
 
Back
Top Bottom