Recent content by wsaria

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iphone 7/ 7plus niko dar es salaam

    unapata kwa 790 dollars..ukihitaji ni PM ni OG witj Warranty
  2. W

    JamiiForums Tanzania Jirani yetu anaumwa sana lakini hawa ndugu zake hawampeleki hospatal

    matibabu kwa wazee ni bure hakuna gharama kubwa..inawezekana umri umeenda lkn anaweza akawa na hekima na ushauri tutakaohitaji hivyo kuishi ni haki yake..mbona mzee mwinyi ana miaka 90+ na bado tunamwitaji mkuu??
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda: Bosi wa EWURA kumfuata Mramba?

    haya kazi hizo
  4. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Usinga Tiba Asilia

    OKOKA NDUGU YANGU UMFUATE YESU...Naamini hata huo utajiri unaotaka kutupa wewe hauna. Fanya kazi mshirikishe Mungu yeye atakusaidia hata hivyo itatusaidia nini tupate kilaa kituu humu ulimwenguni alafu baada ya hapo kwenda Jehanum? Mungu atusaidie watu wake tuondokane na hizi tamaa
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

    pole sana bro, ikiwa wewe hujawahi na hauchepuki basi mrudishe kwao, ikiwa unampenda na kuthamini watoto wako na kama anakuheshimu na kukujali nakusiii msamehe màana huyo hatachepuka tena..kumbuka hautapata perfect ktk ulimwengu huu sisi wote ni wakosaji
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada...True story

    ndugu yangu pole sana, lakni pia jambo lako sio kubwa wala zito kama unavyoona na kidhani, jibu lake ni kumwamini Mungu wa Yesu Kristo na kumkiri kwa kinywa chako, tafuta kanisa ambalo lipo jirani yako ukaombe uombewe utapata uzima na utaendelea na ndoa yako bila shida....kwa kuanzia hata sasa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli, mteue W.Malecela DC Kinondoni

    ni heri husingesema haya..kwa ninavyojua ndio umemuaribia hata kama jina lake lilikowepo kwenye orodha..
  8. W

    JamiiForums Tanzania Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

    Falcon SuperNova Pink Diamond iPhone 6 ($95.5 Million)
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itapiga marufuku makanisa ya kilokole kwenye makazi ya watu.

    nakuombea kwa Mungu uokoke ili uone umuhimu wa hayo makanisa lkn pia kama haujapata neema ya kuokoka utakumbuka ukiwa jehenam ikiwa too late
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali naombeni mbinu mpya za kutongoza kwani nilizonazo siyo rafiki kwa Wanawake wa sasa!

    tafuta pesa uwe na pesa za kutosha
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kutembea na house girl

    mdogo wangu nakushauri uachane na hayo mawazo..sio wewe unayewaza ila ni ibilisi anayaleta ili kuaribu ndoa yako na kuondoa amani hapo home kwako...ipo siku kila kitu kitakuwa wazi ukifanya huo mchezo na kama hujui hao wasichana wanashika mimba haraka kuliko mwanadamu yeyote chini ya mbingu.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Prado 2013 inauzwa

    kaka.habati...nataka noah
  13. W

    JamiiForums Tanzania Gari Toyota Noah inauzwa, milango ya mazungumzo ipo wazi

    habari za leo mkuu?? gari bado ipo??
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa njia ya vitendo

  15. W

    JamiiForums Tanzania Brand new Iphone 7 plus 32gb

    kwa sasa dukani ni US dollar 950 mpk 1000
Back
Top Bottom