Prado 2013 inauzwa

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,298
Make : Toyota
Model : Landcruiser Prado
Mileage : 43000km
Engine size : 2700 cc
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : black
M/Year : 2013
Doors : 5
Seats : 5
FEATURES :
Driver Airbag
Power Windows Air Conditioner
Power Steering
Remote Keyless Entry Leather Seats
Alloy Wheels
Sunroof
Price : Tshs 92,100,000/=
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
ecarstanzania@gmail.com
Karibu!
 

Attachments

  • 3bfAXGuWc3lhr8Uqj4xMc8eSlvRCjXMYK3Nu5mb0LTM4PWu4tCvKl-2uKOLITs6QOtw5p&w=320.jpg
    3bfAXGuWc3lhr8Uqj4xMc8eSlvRCjXMYK3Nu5mb0LTM4PWu4tCvKl-2uKOLITs6QOtw5p&w=320.jpg
    8.8 KB · Views: 101
  • 3bfAXGuWc3lhr8Uqj4xMc8eSlvRCjXMYK3Nu5mb0LTMQZyCC6yAh9-2uKOLITs6QOtw5p&w=320.jpg
    3bfAXGuWc3lhr8Uqj4xMc8eSlvRCjXMYK3Nu5mb0LTMQZyCC6yAh9-2uKOLITs6QOtw5p&w=320.jpg
    8.1 KB · Views: 98
Kaingie website yeyote wanayouza magari, uone kama hakuna oicha kama hizo ...
 
Biashara kazi ngumu kwa mwenye akili ndogo...!! Ukiw na akili za kuku, biashara hutaweza... esp. ktk digital age hii..!!

Badilikeni..!!
 
Hizo picha ziko google kitambo sana. Weka picha halisi ya hiyo gari yako.
Teh teh teh jamaa analeta habari za zamani mtu anamiliki tv asubuhi anawambia ameota labda marekani kutatokea kitu flani kumbe ameangalia tv,sasa na refer na uyu jamaa hajui dunia kijiji
 
Sasa ndio uweke picha halisi ya gari unayouza. Picha nyingi zinakuwa edited.
Haya, prove to Me kwamba hii iko edited

Kuna tatizo moja ambalo hua linasumbua watu wengi, kukariri., ukishakariri basi hata kutaka kutafakari zaidi hutaki
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom