Gari Toyota Noah inauzwa, milango ya mazungumzo ipo wazi

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Wadau Heshima kwenu

Kama tangazo linavyojieleza, Gari aina ya Noah yenye Number za Usajili T 702 CDR linauzwa kwa thamani ya Tsh Million Tisa (9,000,000). Gari lipo kweny hali nzuri sana na dirisha la maongezi (negotiations) lipo wazi.

Kwa Mawasiliano tafadhali 0717935721 inahusika kunipata na kufanya taratibu zote za kimanunuzi. Lakini endapo utahitaji ama unahitaji bidhaa yoyote ya namna hii basi usisite kunitafuta.

Namshukuru kwa ushirikiano wako!

Goodluck Mshana

1479818524005.jpg
1479818538151.jpg
1479818558571.jpg
1479818573013.jpg
1479818599114.jpg
1479818611541.jpg
1479818630504.jpg
 
Kwa mazingira nilipo hiyo 9,000,000/= najenga kajumba kazuri kweli ka kuishi, hiyo karatasi uzia wenye pesa za dili !!
Endelea na Ujenzi. Acha wenye malengo na mipango yao waitimize.. Huenda wao wamejenga na sasa wanahitaji gari.. Kama wewe mipango yako bado basi punguza kejeli na dharau at least utengeneze network nzuri maishani!
 
Wadau Heshima kwenu

Kama tangazo linavyojieleza, Gari aina ya Noah yenye Number za Usajili T 702 CDR linauzwa kwa thamani ya Tsh Million Tisa (9,000,000). Gari lipo kweny hali nzuri sana na dirisha la maongezi (negotiations) lipo wazi.

Kwa Mawasiliano tafadhali 0717935721 inahusika kunipata na kufanya taratibu zote za kimanunuzi. Lakini endapo utahitaji ama unahitaji bidhaa yoyote ya namna hii basi usisite kunitafuta.

Namshukuru kwa ushirikiano wako!

Goodluck Mshana

View attachment 437914View attachment 437915View attachment 437916View attachment 437917View attachment 437918View attachment 437919View attachment 437920
Noah imetulia sana hiyo. Ila Kilomita 176, 212, naona kama imekula sana lami. Milioni 7 hivi tunaweza kuongea kiongozi?
 
Wadau Heshima kwenu

Kama tangazo linavyojieleza, Gari aina ya Noah yenye Number za Usajili T 702 CDR linauzwa kwa thamani ya Tsh Million Tisa (9,000,000). Gari lipo kweny hali nzuri sana na dirisha la maongezi (negotiations) lipo wazi.

Kwa Mawasiliano tafadhali 0717935721 inahusika kunipata na kufanya taratibu zote za kimanunuzi. Lakini endapo utahitaji ama unahitaji bidhaa yoyote ya namna hii basi usisite kunitafuta.

Namshukuru kwa ushirikiano wako!

Goodluck Mshana

View attachment 437914View attachment 437915View attachment 437916View attachment 437917View attachment 437918View attachment 437919View attachment 437920
habari za leo mkuu?? gari bado ipo??
 
habari za leo mkuu?? gari bado ipo??
Karibu Bro... Nimepokea ahadi kadhaa za wateja wenye nia ya kuja kuliona... Hii ni Biashara... Atakayekuja mapema na akakubaliana na mkataba/bei basi itakuwa mali yake rasmi.. Hivyo bado lipo. Karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom