Nahitaji iphone 7/ 7plus niko dar es salaam

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,993
3,684
Habari wadau,
Naomba msaada kwa anayejua official dealer wa iphone kwa Tanzania- aliyeko dsm,iwe iphone7 au 7plus , pia kama una idea ya bei zake itakua umenisaidia.

NB: Sihitaji used; nahitaji mpya sealed with warranty.

shukrani
 
Iphone 7 price - TZS1,909,000 na iphone 7 Plus 32GB Price - TZS2,185,000
 
Habari wadau,
Naomba msaada kwa anayejua official dealer wa iphone kwa Tanzania- aliyeko dsm,iwe iphone7 au 7plus , pia kama una idea ya bei zake itakua umenisaidia.

NB: Sihitaji used; nahitaji mpya sealed with warranty.

shukrani
Hamna mnunuaji hapa we kama huitaji used umeyapita maduka mangapi mpaka ujue kwa MaxenceMero hapa
 
Nenda Mlimani City pembeni ya Tigo shop,kuna wakala wa Apple. Utapata bidhaa zao zote au ukikosa watakuwekea order.
 
mzee iphone mbona zinapatikana kila sehem saivi yani inshort zimekua yeboyebo , iphone 6 16 gb sahivi 280k bei za tecno kbsa izo.. anyways if unataka nenda pale apple store mlimani city ila bei za wale wahuni ni hatar unaeza uziwa 7 plus kwa 2 m wakati sahivi iphone 11 pro 64 gb ni 1.6M mpya kabisa ukiorder from apple , but nenda mlimani tu if consumer ignorance sio ishu kwako
Mwaikibaki ulipata mzgo oficial? Ulinunua wapi na kwa bei gan iphone 7 plus?
 
yah inafaa ila sijafahamu if wanafanya shipping to african countries ila website yao hii hapa https://www.apple.com/shop/buy-iphone/iphone-11
ngebo kumbe inawezekana kuagza iphone direct kutoka aple kwa rejareja! Kupitia website ya apple au? Ofcoz bongo zmejaa ila wabongo weng ujanja mwing anakuambia k2 new kumbe kimetumika, na inakuwa ngumu kutofautisha, smtmz zingne fek. Mimi nataka mpya kabisa ikiwezekana iphone 11 pro max.. Nipe website ya kuagza
 
Back
Top Bottom